Category: Michezo
Serikali yaipongeza NMB kuchangia Mil. 30/- Taifa Stars CHAN 2024
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam SERIKALI imeishukuru na kuipongeza Benki ya NMB, kwa mchango wa Sh. Mil. 30 iliyoutoa kuhamasisha mashabiki na wachezaji wa Taifa Stars kuelekea mechi ya robo fainali ya Michuano ya Mataifa ya Afrika kwa…
Tanzania yaandika rekodi mpya, yatinga robo fainali michuano ya CHAN 2024
Timu ya taifa ya Tanzania imeandika rekodi mpya kutinga hatua ya robo fainali kwa mara ya kwanza katika CHAN 2024. Ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Madagascar umefungua njia kwa Tanzania inayonolewa na Kocha Mkuu, Hemed Suleiman. Mabao ya Tanzania…
Serikali yanunua tiketi 10,000 kuiona Taifa Stars dhidi ya Madagascar
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Ndg. Gerson Msigwa, amesema kuwa, Serikali imenunua tiketi 10,000 zenye thamani ya Shilingi milioni 20, kwa ajili ya mashabiki kuingia uwanjani kuishangilia Taifa Stars katika mchezo…
Tanzania kutuma wanamichezo 492, kushiriki mashindano ya FEASSA 2025 nchini Kenya
Jumla ya wanafunzi 492 ambao ni wanamichezo mbalimbali wanatarajia kushiriki mashindano ya michezo ya wanafunzi wa shule za Msingi na Sekondari kwa nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (FEASSA) yanayotarajiwa kuanza Agosti 12, 2025 Kakamega nchini Kenya. Kwa mujibu…
Taifa Stars yaanza vyema michuano CHAN, yaichapa Burkina Faso 2-0
Timu ya Taifa ya Tanzania, maarufu kama ‘Taifa Stars’ imeanza vyema kampeni zake katika michuano ya Ubingwa wa Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN) kwa mwaka 2024 baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Burkina…
Matukio mbalimbali katika sherehe za ufunguzi rasmi wa michuano ya CHAN
Picha za matukio mbalimbali katika Sherehe za ufunguzi rasmi wa michuano ya CHAN 2024, leo Agosti 02, 2025, ambapo Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inachuana na Burkina Faso, katika Dimba la Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam.