Michezo

MANCHESTER UNITED YAIADHIBU CRYSTAL PALCE KWA MBINDE

Manchester United imerudi kwenye nafasi yake ya pili katika msimamo wa Ligi Kuu Uingereza baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Crystal Palace. Mchezo huo ambao ulikuwa na matokeo hasi kwa Manchester United katika kipindi cha kwanza, ulimalizika huku Palace akiwa na bao moja lililofungwa na Townsend dakika ya 11. Mpaka mapumziko Palace alikuwa mbele kwa bao ...

Read More »

Hakuna Wakuwazuia Tena Manchester City Kubeba Kombe

Klabu ya Manchester city jana Jumapili wakiwa uwanja wao wa nyumbani wa Etihad walifanikiwa kuchomoza na ushidi wa bao 1-0 dhidi ya Chelsea bao lilifungwa na Bernardo Silva Dakika ya 46 kipindi cha pili cha mchezo. Ushindi huo Manchester City umezidi kuwaimarisha kileleni mwa ligi kuu ya England kwa kujikusanyia alama 78 wakifuatiwa na klabu za Liverpool alama 60, Manchester ...

Read More »

Kenya Yaipoteza Vibaya Tanzania Kili Marathon 2018

Leo Jumapili Machi, 4 2018 yamefanyika mashindano ya riadha mkoani Kilimanjaro ambayo ni maarufu kwa Kili Marathon ambayo hufanyika kila mwaka. Mashindano haya hushirikisha watu kutoka mataifa mbalimbali, ambapo wale wote ambao hufanya vizuri hupewa zawadi, wakati wengine hupewa medali ikiwa ni ishara kwa walishiriki mbio hizo. Mashindano haya yalianza mwaka 2003 yakiwa na washiriki waliokadiriwa kuwa kati ya 300-400 ...

Read More »

AZAM FC YAITANDIKA SINGIDA UNITED BAO 1-0 CHAMAZI

TIMU ya Azam FC imeichapa bao 1-0 Singhida United katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara usiku wa leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Shukrani kwake mfungaji wa bao hilo pekee, Joseph Mahundi dakika ya 17 akimalizia pasi ya mshambuliaji Mbaraka Yussuf. Na sasa timu ya Alhaj Sheikh Said Salim Awadh Bakhresa na familia yake ...

Read More »

MABINGWA TIMU YA IRINGA UNITED KUUWAKISHA MKOA WA IRINGA KWENYE LIGI YA MABINGWA WA MIKOA

Mwenyekiti wa chama cha soka mkoa wa Iringa Cyprian Kuyava akiwa na mgeni rasmi wa fainali ya ligi ya mkoa Fesail Asas wakimkabidhi kombe kampteni wa timu ya Iringa United baada ya kuwafunga Mtwivila City kwa njia ya mikwaju ya penati baada ya kumaliza dakika tisini wakiwa wamefungana goli moja moja Mwenyekiti wa chama cha soka mkoa wa Iringa Cyprian ...

Read More »

BAADA YA SIMBA KUCHEZEWA SHARUBU NA STAND UNITED, LEO TENA VIWANJA KUWAKA MOTO

Simba jana kwenye uwanja Taifa wamechezewa sharubu zao baada ya kutoka sare ya mabao 3-3 na Stand United Chama la wana, mechi hiyo ilikuwa kali sana ambapo ilikuwa funga nikufunge, simba wakishinda stand wanachomoa. hivyo mpaka dakika 90 Simba 3 – Stand United 3. Mzunguko wa 20 wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara unaendelea tena leo Jumamosi Machi 3, ...

Read More »

LAS PALMAS YAIDINDIA BARCELONA, YATOKA NAYO SARE YA 1-1

Barcelona imebanwa mbavu katika harakati zake za kuendelea kujivunia alama za kukalia kilele cha msimamo wa Ligi Kuu Spain, baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Las palmas. Barcelona ambao walikuwa ugenini, walianza kupata bao la kwanza kwa njia ya mpira wa faulo kupitia Lionel Messi (21′), na baadaye Las Palmas wakasawazisha kwa njia ya tuta kupitia kwa ...

Read More »

MANCHESTER CITY BINGWA KWA ASILIMIA 99.9, YAIPIGA TENA ARSENAL MABAO 3-0

Klabu ya Arsenal ikiwa katika Uwanja wake wa nyumbani, imekubali tena kichapo cha mabao 3-0 dhidi ya Manchester City katika mchezo wa ligi. Arsenal iliingia na kumbuku za kupoteza mchezo uliopita kwa kufungwa idadi ya mabao yaleyale, huku matarajio ya mchezo dhidi ya Manchester City yakiwa ni kulipiza kisasi japo matokeo yameenda sivyo. Wafungaji wa mabao hayo ni Sane, Bernado ...

Read More »

Wachezaji walioitendea haki jezi namba 10

DAR ES SALAAM NA MICHAEL SARUNGI Katika jambo la upigaji kura kutoka kwa mashabiki wote duniani lililofanywa na mtandao wa soka wa Sokaa Africa, Wayne Rooney aliibuka mshindi katika nafasi ya kwanza akiwa na kura 60 huku akifuatiwa na Ronaldinho aliyepata kura 38. 1. Wayne Rooney Mchezaji huyu anaweza asiwe amefanikiwa kuchukua tuzo ya mwanasoka bora duniani, lakini anahesabika na ...

Read More »

TFF itumie vyema fursa ya FIFA

DAR ES SALAAM NA MICHAEL SARUNGI Ujio wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA), Gianni Infantino, hapa nchini unaweza kuwa na matokeo mazuri katika soka la nchi hii endapo viongozi watakuwa na utashi wa kutenda. Wakizungumza na JAMHURI kwa nyakati tofauti juu ya ziara hiyo, wadau wa mchezo huo wamesema ziara hiyo ya kiongozi huyo mkuu wa ...

Read More »

MAGWIJI WA SOKA WAMTAKA MZEE WENGER AACHIE NGAZI ARSENAL

Mshambuliaji wa zamani wa Arsenal Ian Wright anasema kuwa hakuna sababu za kusalia kuwa meneja baada ya msimu huu. Wright pia aliwashutumu baadhi ya wachezaji kwa kutojituma na kudai kwamba mmiliki wa klabu hiyo Stan Kroenke hajali. Arsenal imepoteza mechi sita kati ya 12 2018, ya hivi karibuni ikiwa fainali ya kombe la Carabao dhidi ya Manchester City. ‘Wenger amekuwa ...

Read More »

HIVI NDIVYO WAKENYA WALIVYOLIPOKEA KOMBE LA DUNIA

Wakenya wamejitokeza kwa wingi kulitazama na kupiga picha na Kombe la Dunia la Shirikisho la Soka Duniani (Fifa) ambalo limekuwa nchini humo kwa siku mbili. Kombe hilo linatembezwa mataifa mbalimbali kabla ya michuano ya Kombe la Dunia kuanza Juni nchini Urusi. Ni mara ya tatu kwa kombe hilo kuwa Kenya, awali ikiwa 2010 na 2013 katika ya fainali zilizofanyika Afrika ...

Read More »

ESPANYOL YAISHUSHIA KIPIGO CHA BAO 1-0 DHIDI YA REAL MADRID

Real Madrid jana usiku mambo yao yamezidi kuwaendea kombo baada ya kuchezea kichapo cha bao 10 kutoka kwa Espanyol, kipigo hicho kinaifanya Real Madrid kupoeza jumla ya michezo mitano ya LaLiga msimu huu, goli pekee la Espanyol limefungwa na Gerard Moreno katika dakika ya tatu za nyongeza kabla ya game kumalizika. Ushindi huo sasa unaifanya Espanyol kufanikiwa kuviadhibu vilabu vyote ...

Read More »

Liverpool Yaishusha Manchester United, Yaibebesha Furushi la Magoli West Hum

Mohamed Salah alifunga bao la lake la sita mfululizo na kuisadia Liverpool kupanda hadi nafasi ya pili katika jedwali la ligi kupitia ushindi mzuri uliowafurahisha mashabiki wake dhidi ya West Ham. Emre Can aliiweka kifua mbele timu hiyo ya mkufunzi Jurgen Klopp kupitia kona-likiwa ni bao la 100 la Liverpool msimu huu baada ya Salah kugonga mwamba. Salah hata hivyo ...

Read More »

Mechi ya Yanga v Ndanda yasogezwa mbele

Bodi ya Ligi (TPLB) imefanya mabadiliko ya mchezo namba 153 kati ya Lipuli na Ndanda uliokuwa uchezwe Ijumaa Machi 2, 2018 kwenye Uwanja wa Samora,Iringa. Mchezo huo wa raundi ya 20 ligi kuu soka Tanzania Bara sasa umesogezwa mpaka Jumapili Machi 4, 2018 na utachezwa kwenye Uwanja ule ule wa Samora mkoani Iringa. Bodi imeeleza sababu za kusogezwa mbele kwa ...

Read More »

ARSENAL USO KWA USO NA AC MILAN EUROPA LIGI HATUA YA 16

Hatua ya 16 bora katika EUEFA Europa League imeshapangwa baada ya timu 16 kufuzu kutokana na mechi zilizochezwa wiki hii. Katika ratiba, mechi inayosubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka duniani, ni AC Milan ambayo itakuwa mwenyeji katika mchezo wa kwanza dhidi ya Arsena. Ratiba kamili hii hapa

Read More »

MCHEZA TENISI, MUGURUZA ATINGA NUSU FAINALI YA MICHUANO YA DUBAI

Mchezaji Tenisi Garbine Muguruza amefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya Dubai baada ya kumshinda Caroline Garcia katika mchezo wa wa pili war obo fainali na kutinga Nusu fainali ya Dubai. Muguruza alifuzu hatua robo fainali baada ya kupata ushindi wa seti 7,5 6,2 dhidi ya mfaransa Wozniacki . Naye Bingwa wa zamani wa Gland slam kutoka Ujerumani ...

Read More »

ARSENAL YACHEZEA KICHAPO NYUMBANI

Mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger anasema kuwa kikosi chake kilijivuta sana na kunusurika dhidi ya klabu ya Sweden Ostersunds FK, hivyobasi kufuzu katika raundi ya timu 16 bora katika kombe la ligi ya Yuropa. Arsenal ilishinda awamu ya kwanza 3-0, lakini karibia ishangazwe baada ya wageni hao kufunga mabao mawili ndani ya sekunde 70. Kikosi cha Graham Potter ambacho kimepanda ...

Read More »

DE GEA AWANUSURU MANCHESTER UNITED KUPOKEA KIPIGO KUTOKA KWA SEVILLA

Mlindalango wa Manchester United David de Gea alifanya kazi ya ziada kuzuia makombora ya wapinzani wao Sevilla Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya mechi ya hatua ya 16 bora na kuwasaidia kutoka sare Jumatano. Kipa huyo Mhispania aliwazuia Joaquin Correa na Steven N’Zonzi kufunga kwa ustadi mkubwa, na kisha akatumia mkono mmoja muda mfupi kabla ya mapumziko kuzuia mpira wa kichwa ...

Read More »

Ligi ya Bundesliga kubadilishwa

Berlin, Germany Mchezaji wa zamani wa klabu ya Bayern Munich ya Ujerumani, Stefan Effenberg, amesema kuna haja ya mfumo wa ligi ya nchi hiyo kufanyiwa marekebisho kwa manufaa ya klabu na timu ya taifa ya nchi hiyo. Amesema ligi ya nchi hiyo kuendelea kutawaliwa na klabu ya Bayern Munich ni hatari kwa ustawi wa klabu nyingine na timu ya taifa, hali inayopaswa ...

Read More »

FULL TIME MWADUI FC VS SIMBA SC(2-2)

Refa anapuliza filimbi kuanshilia mtanange unaanza na Mwadui  ndio wanaanza mpira. Dakika ya 1:  simba wanarusha mpira. Dakika ya 8 : faulo kuelekea lango la mwadui Dakika ya 9: Goooooooooooo Boko anawanyanyua mashabiki vitini, simba 1 Dakika ya 11: Simba wamecharuka, wanapata Kona shuti kali mlinda mlango anapangua na mpira unakuwa kona Dakika ya 17: Mwadui wanapata faulo kuelkeza lango ...

Read More »

SIMBA SC KAZINI TENA LEO KUUMANA NA MWADUI FC

Timu ya Simba leo inashuka dimbani kwenye mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara kuumana na Mwadui Fc kwenye uwanja wa CCM Kambarage, Shinyanga. Simba ndio vinara wa ligi hiyo baada ya kujikusanyia point 41 ikiwa imecheza michezo 17, huku mwadi akiwa kwenye nafasi ya 16 imenjikusanjia point 17 baada ya kucheza michezo 12 Mwadui wanaweza kuwa na wakati mgumu kwenye ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons