JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Tanzania yaweka mkazo utabiri wa hali ya hewa unaolenga hatua

Na Stella Aron, JamhuriMedia Serikali imeanza kuimarisha matumizi ya taarifa za hali ya hewa kwa kuweka mkazo katika utabiri unaolenga hatua, unaolenga kuwasaidia wananchi na wadau kutafsiri taarifa za hali ya hewa na kuchukua hatua mapema kabla ya kutokea kwa…

Usipuuze uvimbe, jua dalili za saratani ya mitoki mapema

Na Mwandishi Maalumu , JamhuriMedia,Dar es Salaam Wananchi wametakiwa kutopuuza uvimbe unaodumu mwilini hususan ule usioambatana na maumivu badala yake wafike katika vituo vya afya kwa uchunguzi huku wakihimizwa kujenga utamaduni wa kutambua dalili za saratani ya mitoki mapema. Wito…

Vuli 2026 na tishio la El Niño; tusisubiri mafuriko ndipo tujiandae

Na Stella Aron, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa angalizo kuhusu msimu wa mvua za Vuli 2026, unaotarajiwa kuathiriwa kwa kiasi kikubwa na hali ya El Niño. Kwa mujibu wa TMA, maeneo mengi ya…

Wenye uzito uliopitilizwa waitwa kufanyiwa matibabu

……..Kambi maalum inaanza Jumatatu hadi Septemba 11 Na Mwandishi Wetu HOSPITALI ya Shifaa Pan African ya Kinondoni jijini Dar es Salaam imeandaa kambi maalum kufanya upasuaji wa kupunguza uzito kwa kutumia matundu madogo kuanzia Agosti 31 mpaka Septemba 11. Daktari…

CHADEMA kuna mahali mmeteleza

NA JOE BEDA RUPIA “Utakitoaje kibanzi ndani ya jicho la mwenzako nawe lako lina boriti ndani yake?” Swali la Yesu Kristo ndani ya Biblia. Linafikirisha sana. Linatafakarisha pia. Hili nimelifikiria wiki hii kutokana na hali inayoendelea ndani ya chama kikuu…

Mwamko wa ulipaji kpdi kwa hiari, chachu ya mqelekeo wa kujitegemea kibajeti

Na DK Reubeni Lumbagala, JamhuriMedia Waasisi wa taifa letu walipambana na wakoloni ili kujinasua kutoka kwenye makucha ya kutawaliwa na kuamuliwa nini cha kufanya ili hali uwezo wa kufanya hivyo tulikuwa nao. Desemba 09, 1961, tukapata uhuru kamili wa kisiasa…