Archives for Makala - Page 399

Nyerere: Kataeni kukandamizwa

“Watanzania watakuwa ni wajinga na mataahira, kama watakubali kuendelea kukandamizwa na watu wachache katika nchi yao ” Baba wa Taifa letu, Mwalimu Julius Nyerere, aliyasema hayo kuwahimiza Watanzania kupinga vitendo vya ukandamizaji ndani ya nchi yao. Gandhi: Tusikatae kusikilizana “Mabadiliko…
Soma zaidi...

Utaifa hauna dini (3)

Ndiyo kusema licha ya fursa kubwa kielimu walizopata watu wa mwambao siku zile kuelimisha watoto wao, jamaa hawa Waswahili hawakuzitumia. Hapo ndipo zinapoonekana sababu za kuwafanya Waislamu wasitumie kikamilifu fursa zilizotolewa na Serikali kwa elimu ya raia wote wa Tanzania.…
Soma zaidi...
Show Buttons
Hide Buttons