Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM imepokea ombi la kustaafu kwa Ndg. Abdulrahman Kinana katika nafasi yake ya Katibu Mkuu pamoja na majukumu yake.

Kamati hiyo wameridhia kwa pamoja ombi lake na wamemtakia mafanikio mema katika shughuri zake

1025 Total Views 1 Views Today
||||| 0 I Like It! |||||
Sambaza!