Ligi kuu nchini Uingereza imeendeleaa tena leo kwa mchezo mmoja kati ya Crystal Palce dhidi ya Manchester City, matokeo ya mchezo huo Crystal Palace imefanikiwa kuwakazia Manchester City na kutoka nao sare ya 0 – 0.

Katika mchezo huo Crystal Palace walikuwa na nafsi kubwa ya kuibuka na ushindi hasa kwenye dakika 90 walipopata penati na Luka Milivojevic kukosa penati.

Kutokana na sare hiyo Manchester City imeupunguzwa kasi ya kuelekea kwenye ubingwa ambapo mpaka sasa wamefikisha idadi ya michezo miwili wakimaliza kwa sare huku wakiwa wameshinda mechi 19 na kufikisha point 59 wakiwa kwenye nafsi ya kwanza na anayemfuatia Chelsea akiwa na point 45.

ANGALIA MCHEZO ULIVYOKUWA

https://youtu.be/Nm4DQHUNoXM

 

1863 Total Views 2 Views Today
||||| 0 I Like It! |||||
Sambaza!