Dr. Damas Ndumbaro alipokuwa akitambulishwa kwa wananchi na Mwigulu Lameck Nchemba kabla ya kufanyika uchaguzi January 13, 2018.

MGOMBEA Ubunge jimbo la Songea Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dr. Damas Ndumbaro ameshinda Uchaguzi kwa kupata kura 45162 sawa na 97% akifuatiwa kwa mbali na mgombea Wa CUF aliyepata kura 608.

Matokeo rasmi yametangazwa na mkurugenzi wa uchaguzi jimbo la Songea mjini.

3207 Total Views 2 Views Today
||||| 0 I Like It! |||||
Sambaza!