Diamond akifanya mahojiano maalum na Global TV online.

 

HATIMAYE msanii kutoka industry ya Bongo Fleva, Diamond Platinumz ameamua kuanika kuhusu tetesi za kumapachika uzauzito Video Vixen wa Bongo, Tunda.

Interview ikiendelea.

Akifanya mahojiano maalum ya Global TV Online, Diamond amekanusha kumpachika mimba staa huyo na kudai kuwa hajawahi hata kutebea naye wala kuwa na mahusiano naye.

Tunda.

“Sio kila mwanamke mzuri ninatembea nae mimi tu, sijawahi kuwa na mahusiano na Tunda,” alisema Diamond.

4078 Total Views 2 Views Today
||||| 0 I Like It! |||||
Sambaza!