
Diamond, Nandy Bado hakijaeleweka
Msanii Naseeb Abdul maarufu Diamond Platinumz jana amewasili katika ofisi za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kwa ajili ya mahojiano kutokana na tuhuma za kusambaza katika mitandao ya kijamii video isiyokuwa na maadili. Msanii huyo anatuhumiwa kusambaza video inayomuonyesha akiwa katika faragha na mwanamke ambaye ni mzazi mwenzake, Hamisa Mobetto. Siku ya Jumanne, Diamond alishikiliwa…