Mbunge wa Mtera ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Livinstone Lusinde ‘Kibajaj’, akimnadi kwa wananchi mgombea wa CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Ubunge Jimbo la Kinondoni Said Mohamed Mtulia, katika mkutano wa kampeni uliofanyika jana katika Mtaa wa Idrisa, Magomeni jijini Dar es Salaam.

Mbunge wa Mtera ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Livinstone Lusinde ‘Kibajaj’, akimumbea kuwa kwa wananchi mgombea wa CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Ubunge Jimbo la Kinondoni Said Mohamed Mtulia, katika mkutano wa kampeni uliofanyika jana katika Mtaa wa Idrisa, Magomeni jijini Dar es Salaam.

Mgombea wa CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Ubunge Jimbo la Kinondoni Said Mohamed Mtulia, akiomba kura kwa wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika jana katika Mtaa wa Idrisa, Magomeni jijini Dar es Salaam.

Vijana wa Hamasa na wananchi wakimshangilia Mtulia wakati akiomba kura

Diwani wa Kata ya Magomeni Ndugu Bujugo akimuombea kura Mtulia kwenye mkutano huo

Mbunge wa Viti Maalum kutoka Iringa Rita Kabati akimuombea kura Mtulia katika mkutano huo

Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Wilaya ya Mafia Mohamed Albadawi akimuombea kura Mtulia katika mkutano huo

John Nzwalila ambaye alikuwa Katibu wa Chadema mkoa wa Mwanza, akimuombea kura Mtulia katika mkutano huo

Vijana wa hamasa wakishangilia wakati Mwenyekiti wa zamani wa CCM wilaya ya Kinondoni Hamza Londa akimuombea kura Mtulia kwenye mkutano huo

Baadhi ya wananchi wakifuatia hatua kwa hatua mambo mbalimbali yaliyokuwa yakijiri kwenye mkutano huo

Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam Kate Kamba  ‘akitroti’ kwenda jukwaani kumkaribisha mgeni rasmi Livingstone Lusinde kuhutubia mkutano huo.

Wananchi na vijana wa hamasa wakishangilia wakati Kate Kamaba akienda jukwaani

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam Kate Kamba akihutubia na kumumbea kura Mtulia kabla ya kumwita jukwaani kibajaj

Kada Maarufu wa CCM kutoka Kikwajuni Zanzibar Nuru Mohammed akieleza anavyomfahamu mgombea wa Chadema Salum Mwalimu, wakati akimuombea kura Mtulia kwenye mkutano huo

“Wewe Salum mimi nakufahamu sana, tangu babu yako” hutoshi kuwaongoza wana Kinondoni”, akasema Nuru

Mbunge wa Mtera ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Livinstone Lusinde ‘Kibajaj’, akisindikizwa na wabunge wa viti maalum wa CCM, kwenda jukwaani kumnadi Mtulia kwenye mkutano huo uliofanyika Mtaa wa Idrisa, Magomeni jijini Dar es Salaam.

Lusinde na wabunge wa Viti Maalum wa CCM wakishambulia jukwaa kabla ya kuwachia ulingo Lusinde

Baadhi ya viongozi wa CCM wakifuatilia hali ya mambo yalivyokuwa yakiendelea kwenye mkutano huo

Baadhi ya wananchi kwenye mkutano huo

Baadhi ya viongozi na wananchi kwenye mkutano huo

Katibu wa CCM mkoa wa Dar es Salaam saad Kusilawe (wapili kushoto0 akiwa na baadhi ya viongozi kwenye meza kuu wakati wa mkutano huo

Baadhi ya viongozi na waalikwa kwenye mkutano huo

Baadhi ya Vijana wakionekana kuwa imara kuhakikisha mkutano huo unamalizika salama

Baadhi ya waalikwa na wanachama wa CCM wakiwa kwenye mkutano huo

Mbunge wa Mtera ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Livinstone Lusinde ‘Kibajaj’, akimumbea kuwa kwa wananchi mgombea wa CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Ubunge Jimbo la Kinondoni Said Mohamed Mtulia, katika mkutano wa kampeni uliofanyika jana katika Mtaa wa Idrisa, Magomeni jijini Dar es Salaam

Mbunge wa Mtera ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Livinstone Lusinde ‘Kibajaj’, akimumbea kuwa kwa wananchi mgombea wa CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Ubunge Jimbo la Kinondoni Said Mohamed Mtulia, katika mkutano wa kampeni uliofanyika jana katika Mtaa wa Idrisa, Magomeni jijini Dar es Salaam

Mbunge wa Mtera ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Livinstone Lusinde ‘Kibajaj’, akimumbea kuwa kwa wananchi mgombea wa CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Ubunge Jimbo la Kinondoni Said Mohamed Mtulia, katika mkutano wa kampeni uliofanyika jana katika Mtaa wa Idrisa, Magomeni jijini Dar es Salaam

Mgombea wa ubunge kwa tiketi ya CCM said Mohamed Mtulia akisindikizwa na wabunge wa viti maalum wa CCM alipokuwa akienda jukwaani kuomba kura

Mbunge wa Mtera ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Livinstone Lusinde ‘Kibajaj’, na Mgombea wa CCM katika Mdogo wa Ubunge Jimbo la Kinondoni Said Mohamed Mtulia, wakiselebuka reggae jukwaani kabla ya Mtulia kuomba kura.

Mtulia akisalimia wananchi alipopanda jukwaani kuomba kura

Mwanasheria wa kujitegemea Godfrey Martin (kulia) akienda jukwaani kutangaza uamuzi wake wa kuachana na Chadema na kuhamia CCM wakati wa mkutano huo

Mwanasheria wa kujitegemea Godfrey Martin akimkabidhi Lusinde kadi yake ya Chadema baada ya kutangaza kukihama chama hicho  na kujiunga na CCM wakati wa mkutano huo

Lusinde akiionyesha kadi ya Chadema baada ya kuipokea kutoka kwa mwanasheria huyo wa kujitegemea ambaye pia amewahi kugombea Ubunge Segerea ndani ya Chadema

Lusinde akiwa na vijana kutoka Chadema na CUF ambao walioamua kuhamia CCM kumfuata Mtulia wakati wa mkutano huo

“Nimeamua kuhamia CCM baada ya kuridhishwa na utendaji kazi wa erikali ya CCM chini ya Rais Dk Magufuli” Godfrey Martin akisema wakati akitangaza kuhamia CCM. Wapili kushoto ni Mtulia na kulia ni Lusinde

Wakili Godfrey akisisitiza jambo na kumuombea kura Mtulia (kulia)

Baadhi ya wananchi wakifuatilia kwa makini hali ya mambo kwenye mkutano huo

Wananchi waliofurika kwenye mkutano huo wa ‘Kibajaj’ kumnadi Mtulia wakionyesha kuhamasika

2247 Total Views 4 Views Today
||||| 0 I Like It! |||||
Sambaza!