Waziri wa Mambo ya Ndani, Dkt Nchemba amesema, uandikishaji wa vitambulisho vya Taifa utakapokamilika, vitambulisho hivyo vitatumika kupigia kura.

Amesisitiza, mwananchi akiwa na kitambulisho cha kupigia kura, kitakuwa batili kama hatakuwa na kitambulisho cha uraia. Hivyo wamewataka wanachi wa maeneo yote wajitokeze kujiandikasha ili wapate vitambulisho vya Taifa. “lazima kila mwananchi awe na kitambulisho cha Uraia” amesema.

 

2744 Total Views 3 Views Today
||||| 0 I Like It! |||||
Sambaza!