DKT. NCHEMBA: UMAKINI UNAHITAJI KATIKA USAJILI WA WANANCHI KATIKA VITAMBULISHO VYA TAIFA

SERIKALI imewataka Watendaji wanaosimamia zoezi la usajili wananchi kwa ajili ya vitambulisho vya taifa kufanyakazi kwa umakini, uzalendo na kwa ushirikiano na jamii ili kuepuka kuandikisha na kuwapa watu wasio stahili vitambulisho vya raia. Kauli hiyo ilitolewa jana mjini Tabora na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt.Mwigulu Nchemba wakati uzinduzi wa zoezi la…

Read More

KITAMBULISHO CHA KUPIGA KURA BATILI KAMA HAUTAKUWA NA KITAMBULISHO CHA URAIA

Waziri wa Mambo ya Ndani, Dkt Nchemba amesema, uandikishaji wa vitambulisho vya Taifa utakapokamilika, vitambulisho hivyo vitatumika kupigia kura. Amesisitiza, mwananchi akiwa na kitambulisho cha kupigia kura, kitakuwa batili kama hatakuwa na kitambulisho cha uraia. Hivyo wamewataka wanachi wa maeneo yote wajitokeze kujiandikasha ili wapate vitambulisho vya Taifa. “lazima kila mwananchi awe na kitambulisho cha…

Read More