NANI KAMA NYERERE?

  1. Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Tanzania)
  2. Chuo Kikuu cha Ufilipino (Ufilipino)
  3. Chuo Kikuu cha Manila (Ufilipino)
  4. Chuo Kikuu cha Makerere (Uganda)
  5. Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (Tanzania)
  6. Chuo Kikuu cha Claremont (Marekani)
  7. Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (Tanzania)
  8. Chuo Kikuu cha Fort Hare (Afrika Kusini)
  9. Chuo Kikuu cha Lincoln (Marekani)

Tuzo alizopewa

  1. Yogoslavia – Memorial Plaque of the City of Belgrade (15th October 1969)
  2. Guyana – Freedom of the City of Georgetown (11th September 1974)
  3. Havana, Cuba – Order of Jose Marti (21st September 1974)
  4. Mexico – The Great Collar of the Aztec Eagle (24th April 1975)
  5. India – Nehru Award for International Understanding (17th January 1976)
  6. Guinea Bissau – Medal of Amilcar Cabral (19th September 1976)
  7. Brussels – The Dag Hammarskjold Price for Universal Merit
  8. New Delhi, India – Third World Prize (22nd February 1982)
  9. Maputo, Mozambique – Eduardo Mondlane Medal (7th September 1983)
  10. Geneva – Nansen Medal for Services to the Cause of Refugees (3rd October 1983).
  11. Luanda, Angola – Order of Augstino Neto Award (3rd October 1985)
  12. Luanda, Angola – SADCC Sir Seretse Khama Medal (21 August 1986)
  13. Dodoma, Tanzania – Lenin Peace Prize
  14. Dodoma, Tanzania – Juliot Curie Gold Medal (February 1988)
  15. Paris, France – UNESCO

16: Statesman of the 20th century by the Chama Cha Mapinduzi 2000,

17: Order of the Companions of O. R. Tambo (Gold) South Africa 2004,

Royal Order of Munhumutapa Zimbabwe 2005

18: Most Excellent Order of the Pearl of Africa (Grand Master) Uganda 2005

18: Order of Katonga Uganda 2005

19: National Liberation Medal Rwanda 2009

20: Campaign Against Genocide Medal Rwanda

2009

21: Order of the Most Ancient Welwitschi Mirabilis Namibia 2010

22: Tanzania Professional Network Award 2011

23: Order of Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Tanzania 2011

24: National Order of the Republic (Grand Cordon) Burundi 2012

25: Order of Jamaica, Jamaica.

26: Mwaka 2007 Rais Yoweri Museveni wa Uganda alimpa tuzo ya Katongo, ambayo ni medali ya juu kuliko zote ya Jeshi la Uganda kwa heshima ya upinzani wake dhidi ya ukoloni na serikali ya Idi Amin.

Vitabu alivyoandika/alivyofasiri

Ukiacha shughuli za kisiasa, Mwalimu Nyerere muda wote wa uhai wake Mwalimu alikuwa mwandishi wa vitabu. Baadhi ya vitabu hivyo ni:

  1. Freedoms and Unity Uhuru na Umoja) – Oxford University Press – 1966
  2. Freedoms and Socialism (Uhuru na Ujamaa)- Oxford University Press – 1968
  3. Ujamaa-Essay on Socialism – Oxford University Press – 1968
  4. Ujamaa – Oxford University Press – 1968
  5. Nyerere on Socialism – Oxford University Press – 1969
  6. Binadamu na Maendeleo – Oxford University Press – 1974
  7. Man and Development- Oxford University Press – 1974
  8. Crusade for Liberation – Oxford University Press – 1978
  9. Juliasi Kaizari (Translation into Kiswahili of Shakespeare’s Julius Caesar) – Oxford University Press
  10. Mabepari wa Venisi (Translation into Kiswahili of Shakespeare’s The Merchant of Venice)
  11. Uongozi Weu na Hatima ya Tanzania – African Publishing Group – 1994
  12. Destiny of Tanzania – African Publishing Group – 1995
  13. Translated four chapters of the New Testament into Kiswahili (Gospel of Matthew, Mark, Luke and John) – Benectine Ndanda Press – 1996
  14. Africa Today and Tomorrow – DSM University Press – 2000

Vijitabu:

 

  1. East African Federation – Tanganyika Standard Ltd – 1961
  2. Tujisahihishe – TANU Press – 1962
  3. TANU na Raia – TANU Press – 1962
  4. Ujamaa The Basis of African Socialism – Tanganyika Standard Ltd – 1962
  5. Democracies and the Party System – Tanganyika Standard Ltd – 1963
  6. An Address to the Norwegian Students Association in Oslo – Tanganyika Standard Ltd – 1963
  7. Hotuba ya Sikukuu ya Jamhuri – Government Printer – 1963
  8. Independence and Solidarity – National Press Club Washington DC – 1966
  9. Modern African Studies – Cambridge University Press – 1963
  10. Inauguration of the University – Department of Extra Muralo East Africa Studies, Dar es Salaam – 1963
  11. The Courage of Reconciliation – Columbia University Press -1964
  12. Dag Hammarsjold Memorial Lecture – Government Printer -1964
  13. Hotuba ya Rais kwa Watoto – Government Printer -1964
  14. Mkutano wa Cairo (OAU) – Tanzania Information Services – 1964
  15. Hotuba ya Rais kwa Wanajeshi Wapya wa Jamhuri – Tanganyika Standard Ltd

Umaarufu wa Mwalimu

 

Mwalimu Nyerere ni mmoja wa watu maarufu ndani na nje ya Bara la Afrika. Mitaa na barabara kadhaa vimepewa jina lake. Baadhi ya ipo Mombasa, Kisumu, Namibia, Afrika Kusini, Zambia, Malawi, Zimbabwe na Palestina.

Pia kuna shule nyingi na vyuo, ndani na nje ya Bara la Afrika vilivyopewa jina ‘Nyerere’. Pia baadhi ya watu katika maeneo mbalimbali ulimwenguni wamekuwa wakitumia jina ‘Nyerere’.