Nyerere: Tusivunje mlango
“Ikiwa mlango umefungwa, basi yafanywe majaribio ya kuufungua;
umeegeshwa, (basi) usukumwe hadi ufunguke. Katika hali yoyote,
gharama ya waliyomo ndani.”
Haya ni maneno ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyoyatoa
Toronto, Canada, Oktoba 2, mwaka 1969.

Obama: Bajeti si namba
“Bajeti ni zaidi ya orodha ya namba kwenye ukurusa; ni umwilisho w
Haya ni maneno ya Rais wa 44 wa Marekani, Barack Obama aliyel
kubwa kiuchumi kati ya Januari 20, 2009 hadi Januari 20, 2017. Alia
zinazotengwa ziwepo.

Bill Gates: Fedha na kujisahau
“Ukiwa na fedha wewe pekee ndiye unayejisahu kuwa ni nani, lakin
dunia nzima inasahau wewe ni nani.”
Haya ni maneno ya mtu aliyedumu kama tajiri namba moja duniani
na nusu, raia wa Marekani, Bill Gates, ambaye ni mwanzilishi na m
Microsoft.

Buffet: Werevu na nidhamu
“Hatupaswi kuwa werevu kuliko watu wengine. Tunapaswa kuw
wengine.”
Haya ni maneno ya mfanyabiashara tajiri wa nchini Marekani, W
umri wa miaka 88, ambaye ana utajiri wa thamani ya dola bilioni 88

Ends…

732 Total Views 1 Views Today
||||| 0 I Like It! |||||
Sambaza!