Mwalimu Julius NyerereNi takribani wiki nne (tangu mwaka jana mwishoni) sikuwamo safuni. Sababu kubwa ya kuadimika kwangu ilikuwa ni kujipa muda wa kutafakari kazi yote niliyoifanya kwa mwaka uliopita na kujipanga kwa ajili ya mwaka huu mpya.

By Jamhuri