Nyerere: Ole wao wale watakaoifanya  siku hiyo  isiepukike

Siku inakuja ambapo watu watachagua kifo kuliko fedheha na ole wao wale watakoiona siku hiyo!

Na ole wao wale watakaoifanya siku hiyo isiepukike. Natumaini na kusali kuwa siku hiyo kamwe haitofika.

Kauli hii ilitolewa na Hayati baba wa Taifa Mwalimu Nyerere Januari 1966

Bill Clinton: Wamarekani wanafanya  kazi kwa bidii

Wamarekani wanafanya kwa bidii hii ndio maana watu wengi wana nafasi ya kuishi ndoto zao.

Kauli hii ilitolewa na na Rais wa 42 wa Marekani,  Bill Clinton, katika Mkutano wa Taifa wa Chama cha

Democratic Julai 26, 2004.

Indira Gandhi: Wapo wanaoishi  kwa kutegema kukopa

Babu yangu linieleza kuwa kuna watu wa aina mbili. Wapo wanaoishi kwa kufanya kazi na wapo wanaoishi kwa

kutegemea kwa kukopa. Akaniambia nijaribu kundi la kwanza kwa kuwa hili litakuwa na ushindani wa chini.

Maneno haya yalitolewa na Waziri wa Mkuu wa India 1980 hadi 1984,  Marehemu Indira Gandhi.

Mahatma Gandhi: Naamini  katika usawa

Naamini katika usawa isipokuwa kwa waandishi na wapigapicha.

Kauli hii ilitolewa na Waziri Mkuu wa kwanza wa India  Mahatma Gandhi.


 

3087 Total Views 1 Views Today
||||| 0 I Like It! |||||
Sambaza!