NUKUU ZA WIKI

 

Nyerere na matumaini ya wanyonge

“Bila Azimio la Arusha, wananchi wanyonge wa Tanzania watakuwa hawana matumaini ya kupata haki na heshima katika nchi yao.”

Haya ni maneno ya Baba wa taifa letu, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Obama na ubaguzi wa Uislamu

“Nafikiri ni sehemu ya wajibu wangu kama Rais wa Marekani kupambana na ubaguzi hasi wa Uislamu popote unapoonekana.”

Haya yalinenwa na Rais Barack Obama wa Marekani.

 

983 Total Views 2 Views Today
||||| 0 I Like It! |||||
Sambaza!

Comments

comments

Show Buttons
Hide Buttons