LISOME GAZETI LETU LA JAMHURI LA KILA WIKI HAPA

Habari Mpya

Ya Wema Sepetu yanaibua maswali

Uamuzi wa Serikali, kupitia Bodi ya Filamu, kumfungia Wema Sepetu kujihusisha na masuala ya filamu kwa muda usiyojulikana kutokana na kuvuja kwa video yake ya ...

Read More »

Pogba kurejea Turin?

Klabu ya ‘Kibibi Kizee cha Turin’ Juventus imo kwenye hatua za mwisho kumrudisha kiungo wake wa zamani, Paul Pogba. Mchezaji huyo kwa sasa anacheza katika ...

Read More »

Mo awaumbua watekaji

Tukio la kutekwa kwa mfanyabiashara maarufu nchini na tajiri kijana barani Afrika, Mohamed Dewji, maarufu kama Mo, limewaumbua watekaji, haijapata kutokea. Wakati wakidhani Mo hakuwa ...

Read More »

Mauaji yakimbiza ajuza, vikongwe

Baadhi ya watu, wakiwamo ajuza na vikongwe katika vijiji vya Kongolo na Shilingwa, Wilaya ya Magu mkoani Mwanza wamekimbia makazi yao wakihofu kuuawa. Miongoni mwa ...

Read More »

Mwandishi auawa ubalozini

Mwanahabari, Jamal Khashoggi, aliuawa katika vita katika Ubalozi mdogo wa Saudia mjini Istanbul, runinga ya taifa hilo imesema ikinukuu uchunguzi wa awali. Naibu Ofisa Mkuu ...

Read More »

Habari za Kitaifa

Maoni ya Mhariri

Nyundo ya Wiki