Latest Posts
Waziri Ndejembi awataka PBPA kuhakikisha kunakuwepo na akiba ya kutosha ya mafuta nchini
📌Ahimiza uboreshaji wa Miundombinu ya kupokelea mafuta 📌Ahimiza kutokuwepo na ucheleweshaji kwenye uingiaji wa mafuta nchini. 📌Alekeza ushirikishwaji wa Wadau katika kuwekeza kwenye ujenzi wa miundombinu ya kuhifadhia mafuta WWaziri wa Nishati Mhe. Deogratius Ndejembi amewataka Wakala wa Kuagiza Mafuta…
Waziri Mkuu atoa wito kwa Watanzania kuwa makini na wenye nia ya kuichafua na kuiharibu Tanzania
▪️Asisitiza kuwa Tanzania na Rasilimali zake zitalindwa kwa gharama yoyote ile. Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba anazungumza na Wahariri wa vyombo vya habari nchini kwenye kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, Novemba 25, 2025. Katika mkutano huo Mheshimiwa…
Waziri Nanauka ataka vijana wasikilizwe
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Maendeleo ya Vijana, Mhe. Joel Nanauka leo Novemba 25, 2025 amewasili mkoani Songwe kwa lengo la ziara ya kukutana na kuzungumza na vijana kuhusu masuala mbalimbali ya ustawi wa kundi hilo ikiwemo shughuli…
Afrika yatoa msimamo wa COP 30
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewasilisha taarifa kwa niaba ya nchi 54 za Kundi la Afrika katika siku ya mwisho ya Mkutano wa 30 wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP30) jijini Belem, Brazil. Taarifa hiyo Afrika imesisitiza…
Hakutokuwa na maadhimisho ya sherehe za Uhuru Desemba 9
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Dar es Salaam Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelekeza kwamba hakutokuwa na maadhimisho ya sherehe za Uhuru Desemba 09, 2025 na badala yake fedha ambazo zilipaswa kutumika katika sherehe hizo zitapelekwa kutumika kurekebisha miundombinu iliyoharibika…





