Tanzania yapokea ugeni kutoka China waonesha nia ya kuwekeza

Na Magrethy Katengu,JamhuriMedia,Dar es Salaam Tanzania imepokea ugeni wa jopo la wataalamu likiwa limeambatana na wawekezaji na viongozi wa Serikali kutoka Jimbo la Changzhou Nchi China ambao wameonesha nia ya kuwekeza kwa kujenga viwanda vya kuzalisha bidhaa mbalimbali ikiwemo power tila,vifaa vya matrekta,vifaa tiba, bidhaa za umeme,water pump. Akizungumza leo Machi 27, 2024 jijini Dar…

Read More

Wadau wachambua miaka mitatu ya Samia

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Katika kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan amefanikiwa kuongeza fursa hasa za ushiriki wa sekta binafsi katika kupanua wigo wa ukuaji wa uchumi nchini. Hayo yamebainishwa jijini Dar es Salaam leo na Mchambuzi wa Masuala ya Uchumi nchini, Profesa Samwel Wangwe wakati wa…

Read More

TANROADS: Uharibifu wa mazingira Busunzu umetokana na mabadiliko ya kimazingira

Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) umeeleza kuwa uchunguzi wa awali unaonesha uharibifu wa barabara eneo la Busunzu kwenye barabara kuu ya Kigoma-Mwanza umetokana na mabadiliko ya kimazingira (Geo-Environmental). Akitoa ufafanuzi wa suala hilo, Meneja wa TANROADS Mkoa wa Kigoma, Mhandisi Narcis Choma amesema eneo hilo liko kwenye mradi wa barabara ya Mvugwe hadi Nduta Jct…

Read More

Rais Samia amuahidi ushirikiano rais mteule Senegal

RAIS Samia Suluhu Hassan amemuahidi ushirikiano wa karibu Rais mteule wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye katika kuimarisha uhusiano na tija kwa pande zote za jamhuri. Kupitia kurasa rasmi za mitandao ya kijamii za Rais Samia, ameandika, matarajio yake ni kuendelea kufanya kazi pamoja ili kuimarisha uhusiano kati ya Tanzania na Senegal. “Nawasilisha pongezi zangu za…

Read More

Mtatiro awataka watumishi kuacha kufanya kazi kwa mazoea

Na Suzy Butondo,Jamhuri Media,Shinyanga Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Julius Mtatiro amewataka watumishi wote wa manispaa kuacha kufanya kazi kwa mazoe, badala yake watoke maofisini kwenda kusikiliza kero mbalimbali za wananchi na kuzitatua kwa wakati. Agizo hilo amelitoa leo wakati akizungumza na wananchi wa Manispaa ya Shinyanga, kwa lengo la kusikiliza kero mbalimbali za wananchi…

Read More