Wadau wa habari wasubiri kusikia jambo bungeni
Wadau wa habari wana shauku kubwa ya kusikiliza muswada wa sheria ya habari ukisomwa kwa mara ya kwanza katika Bunge la Januari hii. Akizungumza leo Januari 19,2023 jijini Dar es Salaam Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF),Deodatus Balile, amesemamwelekeo ni mzuri na maelekezo ya Rais Samia yanatekelezwa na shauku wa wadau wa habari kuona…