Tag archives for Dekula Kahanga
Dekula Kahanga ‘Vumbi’: Mcongo anayemiliki bendi yake Sweden
Dekula Kahanga Na Moshy Kiyungi Dekula Kahanga ni mwanamuziki aliyetokea nchini na kujikita katika jiji la Stockholm nchini Sweden. Ameweza kutafuta mafanikio hadi kuunda bendi yake anayojulikana kama Dekula band. Kabla ya kwenda nchini humo, Kahanga alikuwa mpigaji wa gitaa…