Tag Archives: kombe la mapinduzi

AZAM BINGWA, KOMBE LA MAPINDUZI YAIFUNGA URA KWA PENATI 4-3

Azam FC imeibuka mshindi wa Kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga URA FC ya Uganda kwa penati 4-3. Azam wameshinda kombe hili kwa mara ya pili mfululizo. Shuja wa mchezo huo ni mlinda mlango wa Azam, Razak Abolora ambaye amedaka penati mbili na kuifanya azam kulipa kisasi cha kufungwa kwenye atua ya makundi

Read More »

AZAM FC: HATUTAKUBALI KUFUNGWA MARA MBILI NA TIMU MOJA

Licha ya kutinga fainali lakini kocha wa Azam Aristica Ciaoba amesema hiyo ni nafasi pekee ya kulipa kisasi cha kufungwa na URA mechi za makundi Kocha Mkuu wa Azam FC, Aristica Cioaba, amesema anauhakika timu yake itatetea ubingwa wake wa Kombe la Mapinduzi kutokana na ari waliyokuwa nao wachezaji wake. Coaba amesema, anajua anakwenda kukutana na URA timu ambayo iliwafunga ...

Read More »

JE AZAM ATAWEZA KULIPA KISASI KWA URA, KOMBE LA MAPINDUZI?

Pambano la fainali la kombe la Mapinduzi limezidi kuvuta hisia za mashabiki wa soka visiwani Zanzibar baada ya makocha wa timu zote mbili kutambiana TIMU za Azam na URA keshozitashuka Uwanja wa Amaan Zanzibar kusaka taji la 12, la michuano ya Kombe la Mapinduzi. Timu hizo mbili zinakutana kwa mara ya pili kwenye michuano ya mwaka huu mara ya kwanza ...

Read More »

Azam Yatinga fainali ya Kombe la Mapinduzi, Kukutana na URA

Bao pekee la kinda Shabani Idd limeipelekea Azam FC ambao ndiyo mabingwa watetetzi wa kombe la Mapinduzi fainali ya michuano hiyo Mabingwa watetezi wa Kombe la Mapinduzi Azam FC, huneda wakafanikiwa kulibakisha kombe hilo nchini baada ya leo kufanikiwa kuingia fainali kufuatia ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Singida United katika mchezo wa nusu faianli ya pili uliopigwa uwanja wa ...

Read More »

YANGA USO KWA USO NA URA NUSU FAINAL YA KOMBE LA MAPINDUZI

Kufuatia matokeo ya jana kuanzia mchezo wa mapema uliowakutanisha Simba na URA, na kushuhudia Simba kipandishwa boti kurudi Dar es Salaam kwa kufungwa bao 1-0, na kuifanya URA kufika point 10 na kuongoza kundi A huku Azam ikishika nafasi ya pili kwa kufikisha Point 9. Yanga nao wemeshindwa kuwafunga Singida United baada ya kutoka nayo sare kwa kufungana bao 1-1, ...

Read More »

AZAM YAENDELEZA UBABE KWA SIMBA KOMBE LA MAPINDUZI

Mshambuliaji Iddi Kipwagile ameihakikishia timu yake ya Azam kutinga nusu fainali ya kombe la mapinduzi baada ya kuifunga Simba bao 1-0 Kikosi cha Azam FC leo kimeonyesha dhamira yake ya kutaka kutetea ubingwa wa kombe la Mapinduzi baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0, dhidi ya Simba, katika mchezo wa hatua ya makundi uliopigwa uwanja wa Amaan Zanzibar. Ushindi ...

Read More »

YANGA YATINGA NUSU FAINAL KOMBE LA MAPINDUZI, YAIFUNGA TAIFA 2-0

Ajibu ameisaidia Yanga kupata ushindi wa mabao 2-0, na kukata tiketi ya kucheza nusu fainali ya michuano ya Kombe la Mapinduzi Miamba ya soka Tanzania Bara, Yanga imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0, dhidi ya timu ya Taifa ya Jang’ombe na kuungana na Singida United pia kutoka kundi A, kucheza hatua ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la ...

Read More »

MECHI YA SIMBA VS AZAM NI KAMA FAINALI

Timu za Simba na Azam leo zitakumbushia fainali ya Kombe la Mapinduzi ya mwaka 2017, wakati itakapo kutana katika hatua ya makundi Azam FC na Simba zote za Dar es Salaam kesho zinatarajia kuchuana katika mchezo wa hatua ya makundi ya michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoendelea kwenye Uwanja wa Amaan hapa Zanzibar. Mchezo huo ambao umepangwa kuanza majira ya ...

Read More »

Azam Yachezea Kichapo Kutoka kwa URA

Azam FC italazimia kuifunga Simba leo ili kuweka hai matumaini ya kutetea ubingwa wake baada ya jana kufungwa na URA bao 1-0 Mabingwa watetezi wa michuano ya Kombe la Mapinduzi leo wameonja joto ya michuano hiyo baada ya kupokea kipigo cha bao 1-0, kutoka kwa URA ya Uganda katika mchezo mkali wa kundi A, uliopigwa majira ya 10, kwenye uwanja ...

Read More »

Azam FC Yaendeleza Kichapo, Yaifunga Jamhuri 4-0

Azam imezidi kuonyesha dhamira ya kutetea ubingwa wao baada ya leo kuibuka na ushindi wa mabao 4-0, dhidi ya Jamhuri Kikosi cha Azam FC, kimezidi kufanya vizuri kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoendelea hapa Zanzibar baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-0, dhidi ya timu ya Jamhuri ya Pemba huo ukiwa ni mchezo wa kundi A, uliopigwa majira ...

Read More »

YANGA YAICHARAZA MLANDEGE 2-1

Yanga imeanza vyema michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya kupata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mlandege katika mchezo wa kundi B, uliopigwa uwanja wa Amaan Zanzibar. Ushindi wa Yanga umepunguza kasi ya Mlandege ambayo ndiyo vinara wa kundi hilo wakiwa na pointi zao sita, na Yanga wanapanda hadi nafasi ya pili wakiwa na pointi tatu mabao mawili ya ...

Read More »

KOMBE LA MAPINDUZI, AZAM YAITANDIKA MWENGE FC 2-0

Mabingwa watetezi wa Kombe la Mapinduzi Azam FC imeanza vyema harakati za kutetea ubingwa wa michuano hiyo baada ya jana usiku kushinda mabao 2-0, timu ya Mwenge FC katika mchezo wa kundi A, uliopigwa uwanja wa Amaan Zanzibar. Kocha wa Azam FC Aristica Cioaba, ameiambia Gaol, wamekwenda Zanzibar wakiwa na nia kutetea ubingwa wao ambao wameutwaa msimu uliopita kwenye uwanja ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons