Azam FC imeibuka mshindi wa Kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga URA FC ya Uganda kwa penati 4-3. Azam wameshinda kombe hili kwa mara ya pili mfululizo.

Shuja wa mchezo huo ni mlinda mlango wa Azam, Razak Abolora ambaye amedaka penati mbili na kuifanya azam kulipa kisasi cha kufungwa kwenye atua ya makundi

Please follow and like us:
Pin Share