Tag Archives: lijualikali

Lijualikali na Kiwanga Wapata Dhamana

Mahakama ya Hakimu Makazi Morogoro imewaachia kwa dhamana wabunge wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) leo Disemba 7. Wabunge hao walioachiliwa ni Peter Ambrose Lijualikali ambaye ni Mbunge wa Kilombero na Susan Limbweni Kiwanga ambaye ni Mbunge wa Mlimba. Katika kesi hiyo ya jinai namba 296, wabunge hao pamoja na wanachama wengine wa CHADEMA zaidi ya 30 wanakabiliwa ...

Read More »

Wabunge wa Chadema Warudishwa Tena Rumande

Morogoro. Wabunge Susan Kiwanga na Peter Lijualikali waliofikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro pamoja na washtakiwa wengine 36 wamerejeshwa rumande. Mahakama iliyokuwa itoe uamuzi wa dhamana leo Jumanne Desemba 5,2017 imekwama kufanya hivyo kutokana na kuibuka hoja za kisheria. Upande wa mashtaka na ule wa utetezi unavutana kuhusu hati ya kiapo ya kupinga dhamana iliyowasilishwa mahakamani hapo. Kutokana na ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons