Jaji anyang’anywa jalada la mauaji Moshi
Na Charles Ndagulla, Moshi Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Moshi, Aishiel Sumari, amenyang’anywa jalada la kesi ya mauaji ya aliyekuwa mwanafunzi wa kidato cha pili katika Shule ya Sekondari ya Scolastica, Humphrey Makundi (16), JAMHURI limebaini. Hatua hii imekuja siku chache baada ya JAMHURI kupata taarifa za kiuchunguzi zenye kuonyesha kuwa Jaji Sumari…