Tag Archives: simba sc

Simba Sc Kucheza Kagame Bila Mastaa wake

SIMBA imamua kuwapumzisha wachezaji wake mastaa wa kikosi cha kwanza katika michuano ya Kombe la Kagame iliyopangwa kufanyika jijini Dar es Salaam. Miongoni mwa mastaa ambao wameachwa katika mashindano hayo ni Mnyarwanda Haruna Niyonzima na Jonas Mkude. Michuano hiyo imepangwa kuanza kutimua vumbi Juni 29, mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa na Azam Complex jijini Dar es Salaam. Simba imepangwa ...

Read More »

Kocha Aliyetimuliwa Simba Apata Dili nchini Libya

SIKU chache baada ya uongozi wa Simba kuachana na aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo, Mfaransa, Pierre Lechantre, imebainika kuwa kocha huyo amepata dili nono nchini Libya katika Klabu ya Al Nasr inayoshiriki ligi kuu ya nchi hiyo.   Hivi karubuni Lechantre ambaye ameiongoza Simba kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu, aliondoka klabuni hapo baada ya kushindwa kufikia ...

Read More »

WACHEZAJI WA SIMBA WAPITA KWENYE TUZO YA MCHEZAJI BORA WA LIGI KUU TANZANIA BARA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), imekamilisha uteuzi wa wachezaji 3 watakaowania tuzo ya mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu wa 2017/2018. Wachezaji watatu waliobaki katika kinyang’anyiro hicho ni Emmanuel Okwi, John Bocco na Erasto Nyoni wote wa Simba, ambapo kamati ya Tuzo hiyo ya Mchezaji Bora imeandaa utaratibu wa kupiga kura kuwashirikisha ...

Read More »

Tuzo za Mo Somba Awards 2018 Zafana

Sherehe za simba zilifanyika jana usiku na kushuhudia baadhi ya wachezaji kubuka na tuzo. tuzo hizo ziliandaliwa na tajiri Mohamed Dewiji na kuziita   Golikipa bora ni  Aishi manura Beki bora ni Erasto ambapo alikuwa anapambana na Shomali Kapombe na Mlipili Kiungo bora ni Shiza Kichuya  ambapo alikuwa anapambana na Mkude na Kotei Mfungaji Bora ni Emanuel Okwi ambapo alikuwa ...

Read More »

BAADA ya Simba kumtimua Kocha Mkuu, Mfaransa, Pierre Lechantre, mabosi wa timu hiyo wamefikia uamuzi wa kuikabidhi timu hiyo kwa Mrundi, Masoud Djuma Irambona ambaye atasaidiwa na mkongwe, Selemani Matola.   Djuma ambaye ndiye kocha msaidizi wa Simba kwa sasa, yupo na kikosi hicho mjini hapa Nakuru ambapo Simba inajiandaa kucheza mchezo wa fainali ya michuano ya SportPesa Super Cup ...

Read More »

Simba Yatanguliza Mguu Mmoja Uingereza

Klabu ya soka Simba imefanikiwa kuingia fainali ya Michuano ya SportPesa Super Cup baada ya kuiondosha klabu ya Kakamega HomeBoys kutoka Kenya kwa mikwaju ya penati 5-4. Simba na Kakamega walifikia hatua hiyo ya kupigiana mikwaju ya penati baada ya kutoka sare ya bila kufungana ndani ya dakika 90 Simba watacheza fainal na Timu ya For Mania ya Kenya Ambapo ...

Read More »

Simba sc Kuwalipia Kisasi Yanga

Baada ya kuiondosha Kariobangi Sharks FC katika michuano ya SportPesa Super Cup, klabu ya Simba itakutana na wababe wa Yanga, Kakamega HomeBoyz, kesho Alhamis kwenye Uwanja wa Afraha. Michuano hiyo inayoendelea mjini Nakuru itakuwa inazikutanisha Simba na Kakamega kwenye mchezo huo wa hatua ya nusu fainali itakayoanza majira ya saa 9 kamili mchana. Kakamega walifuzu kufika fainali baada ya kuifunga ...

Read More »

Baada ya Yanga Sc Kuchezea Kichapo, Leo ni Zamu ya Simba Sc

Baada ya Yanga Sc kutupwa nje kwenye mashindano ya Super cup nchini Kenya kwa kufungwa mabao 3-1 dhidi ya Kakamega Homeboys, leo ni zamu ya Simba SC kutupa karata yake ya kwanza katika michuano ya hiyo ya Super Cup inayoendelea Nakuru nchini Kenya watacheza na .Kariobang Sharks majira ya saa tisa alasiri Kuelekea mechi hiyo, Simba wamedhamiria kupigania matokeo chanya ...

Read More »

Uwanja wa Taifa DSM, Umechafuka kwa Rangi Nyekundu,Simba Wafurika

MAMBO ni fire katika Uwanja wa Taifa ambapo tayari mashabiki, wapenzi wa soka wameshaanza kuingia uwanjani kushuhudia mtanange kati ya Timu ya Simba na Kagera Sugar huku wafanyabiashara wadogo wadogo nao wanaendelea kuuza jezi za Simba nje ya uwanja huo kama kawaida. Askari wa kutuliza ghasia wamejaa wakilinda amani eneo la nje na ndani ya uwanja ili kuhakikisha mambo yote ...

Read More »

Simba Watinga Bungeni, Wabunge Wawashangilia

Timu ya Simba wametinga Bungeni jijini Dodoma leo baada ya kupata mwaliko wa Spika Job Ndugai. Mwenyekiti wa Bunge, aliyekuwa akiongoza kikao cha leo, Najma Giga, Naibu Waziri wa Tamisemi, Joseph Kakunda ndiye alianzisha shangwe za kuwapokea Simba bungeni kabla hawajatambulishwa. Kakunda kabla ya kujibu swali bungeni, alisema, leo ameamka saa 10 alfajiri akijiandaa kujibu maswali lakini furaha ya ubingwa ...

Read More »

SIMBA YABEBA KOMBA WAKIWA KWENYE VITI WAKIKUNYA NNE, BAADA YA YANGA KUFUNGWA 2-0 NA PRISONS

Simba wanakabidhiwa ubingwa wakiwa mjini Singida hata kabla ya kuivaa Singida katika mechi yao ya Ligi Kuu Bara, keshokutwa Jumamosi. Hii inatokana na waliokuwa mabingwa watetezi, Yanga kufungwa kwa mabao 2-0 dhidi ya Prisons kwenye Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya. Kufungwa kwa Yanga kuinaifanya ibaki na pointi 48 katika nafasi ya tatu, Azam FC katika nafasi ya pili wakiwa na ...

Read More »

SIMBA SC YAIKIMBIA YANGA MOROGORO, YAREJEA DAR

Timu ya Simba wamerejea jijini Dar es Salaam leo wakitokea Morogoro. Simba wamerejea jijini Dar es Salaam wakitokea Morogoro, hali ambayo imewashangaza wengi. Kawaida huondoka siku moja kabla ya mechi, lakini Simba wameamua kurejea Dar es Salaam siku mbili kabla. Simba ilikuwa Morogoro kujiandaa na mechi dhidi ya watani wake Yanga kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Jumapili. ...

Read More »

SIMBA SC KAZINI LEO KUUMANA LIPULI FC

Kikosi cha Simba kinashuka dimbani Uwanja wa Samora mjini Iringa kikiwa mgeni dhidi ya Lipuli. Simba itakuwa inacheza bila kiungo wake Jonas Mkude ambaye atakosekana kutokana na kutumikia adhabu ya kadi tatu za njano. Mkude atalazimika kusubiri mechi dhidi ya watani zake wa jadi utakaopigwa Aprili 29 Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Kiungo James Kotei ndiye atakuwa mbadala wa ...

Read More »

Simba Sc Yaendelea Kutunza Rekodi ya Kutokufungwa Ligi Kuu Bara

SIMBA SC imeendelea kushikiria record yake ya kutokufungwa kwenye Ligi Kuu baada ya leo kuifunga Mbeya City kwa Mabao 3-1 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Ushindi huo unawafanya Simba wafikishe pointi 55 baada ya kucheza mechi 23, moja zaidi ya mabingwa watetezi, Yanga SC wenye pointi 47 katika nafasi ya pili. Katika mchezo huo uliochezeshwa na Mwamuzi, Hance ...

Read More »

Simba Yazidi Kuukaribia Ubingwa, Yaikung’uta Mtibwa Sugar Bao 1-0

Simba SC imeendelea kujikita kileleni katika Ligi Kuu Bara baada ya kuitandika Mtibwa Sugar  bao 1-0 kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro. Mchezo huo uliokuwa unaambatana na mvua iliyokuwa ikinyesha Uwanjani, ulishuhudiwa nyavu zikitikiswa mnamo dakika ya 24 ya kipindi cha kwanza na Emmanuel Okwi. Okwi alifunga bao hilo akimalizia kazi mpira wa kichwa kutoka kwa John Bocco na kufanya ...

Read More »

Simba Kazini Leo Dhidi ya Mtibwa Bila Majembe Haya

SIMBA SC itawakosa wachezaji wake watatu, mabeki Mganda Juuko Murshid, mzawa Erasto Nyoni na kiungo Mghana, James Kotei katika mchezo wake wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Mtibwa Sugar leo Jumatatu Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro kutokana na kutumikia adhabu ya kadi za njano. Lakini kocha Mkuu wa Simba, Mfaransa Pierre Lechantre anajivunia kurejea kwa, Jonas ...

Read More »

Simba Sc Mzigoni Leo Kusaka Point za Kubeba Kombe

Simba itakuwa inakibarua dhidi ya wenyeji wa mji huo, Njombe Mji FC, katika mchezo wa ligi kuu bara utakaopigwa majira ya saa 10 jioni. Njombe Mji itakuwa inaikaribisha Simba ikiwa na kumbukumbu mbaya za kuondoshwa nje ya michuano ya Kombe la Shirikisho na Stand United ya mjini Shinyanga. Tayari timu zote mbili zimeshakamilisha maandalizi kuelekea mchezo mchezo huo wa leo.

Read More »

MWAKYEMBE: KWA SIMBA HII, SASA TANZANIA TUNAELEKEA KUWA KICHWA CHA MUUNGWANA, NA SI CHA MWENDAWAZIMU

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt Harrison Mwakyembe ameeleza kufurahishwa na mchezo wa Kombe la Shirikisho Africa kati ya Simba SC na Gendarmerie ya nchini D’jbout ambapo Simba iliibuka kidedea kwa kuichapa timu hiyo mabao 4 – 0, mechi iliyochezwa katika uwanja wa taifa Dar es Salaam. Waziri Mwakyembe alieleza kuwa kwa kiwango cha soka kilichoonyeshwa ...

Read More »

SIMBA SC YAREJEA KIMATAIFA KWA KISHINDO, YAIBEBESHA FURUSHI LA MAGOLI GENDERMARIE YA DJIBOUTI

SIMBA SC imeanza vyema michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Gendarmarie Tnare kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Magoli ya Simba yalifungwa na kiungo Said Hamisi Ndemla, Nahodha na mshambuliaji John Raphael Bocco na mshasmbulaiji Mganda, Emmanuel Arnold Okwi. Kwa ushindi huo Simba itakuwa na kazi nyepesi kwenye mchezo wa ...

Read More »

ZAMU YA SIMBA SC LEO KUONESHA MAKUCHA YAKE KWENYE MICHEZO YA KIMATAIFA

SIMBA SC inarejea kwenye michuano ya Afrika leo baada ya miaka minne, itakapomenyana na Gendarmerie Tnale ya Djibouti katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika Uwanbja wa Taifa jijini Dar es Salaam jioni ya leo. Mara ya mwisho Simba SC kushiriki michuano ya Afrika ilikuwa mwaka 2012 na ikatolewa Raundi ya Kwanza tu na Recreativo ...

Read More »

SIMBA YASEMA , RUVU WANAKULA NYINGI

KOCHA wa Simba, Pierre Lecha-ntre ametamka kwamba hakuna chochote wanachokitaka leo kwa Ruvu Shooting  zaidi ya pointi tatu. Kocha huyo mfaransa mwenye wasaidizi wawili amesisitiza kuwa kikosi chake kiko sawa wala hana mchecheto wowote ingawa rekodi za ushindi zinamzidishia jeuri. Mchezo huo ambao utapigwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, unatajwa kuwa ni wa kisasi kutokana na mchezo ...

Read More »

MWENDO WA SIMBA SC KAMA TREN YA STANDARD GAUGE

USHINDI iliyoupata Simba,Jana Jumapili wa mabao 4-0 dhidi ya Majimaji, umeifanya timu hiyo kujikita zaidi kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara baada ya kufikisha pointi 35. Simba imepata ushindi huo kwa mabao mawili ya John Bocco aliyefunga dakika ya 16 na 26 pamoja na yale mawili ya Emmanuel Okwi dakika ya 53 na 68 na kuifanya timu hiyo kuwa ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons