Tag Archives: TPA

TPA yaadhimisha miaka 13 kwa mafanikio makubwa

Na Mwandishi Maalum Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (Tanzania Ports Authority – TPA) inaadhimisha miaka 13 tangu kuanzishwa kwake mwaka 2005. TPA ilianzishwa kwa mujibu wa Sheria ya Bunge Na. 17 ya mwaka 2004 kwa kurithi kazi za iliyokuwa Mamlaka ya Bandari Tanzania (Tanzania Harbours Authority – THA) ambayo ilianzishwa mwaka 1977 baada ya kuvunjika kwa iliyokuwa Jumuiya ya ...

Read More »

TPA inathamini mizigo ya wateja

Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imefanya mambo mengi katika utoaji huduma bora kwa wateja wake. Ili kuhakikisha TPA inawahudumia wateja wake vizuri iliamua kuwa na Mkataba wa Huduma kwa Mteja, kuanzisha Kituo cha Huduma kwa Wateja na kufungua Dawati la kushughulikia malalamiko ya wananchi.   Ndugu msomaji, katika makala hii tunakujulisha hatua ambazo mteja anapaswa kuchukua iwapo mzigo ...

Read More »

PROFESA MBARAWA AWATAKA TPA KUKAMILISHA NA KUHAMIA JENGO JIPYA

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa ameitaka Mamlaka ya Bandari nchini (TPA), kuhakikisha kazi ya kukamilisha ujenzi wa jengo jipya ‘One Stop Centre’ inakamilika haraka na kuanza kutoa huduma kwa mamlaka hiyo na wadau wake wote. Akizungumza mara baada ya kukagua jengo hilo leo jijini Dar es Salaam, Prof. Mbarawa amesema ufanisi wa bandari ya Dar es ...

Read More »

TPA Yanasa Mtandao Wizi wa Mafuta

Serikali wilayani Kigamboni na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) wanasema wamepata taarifa za kuwapo watu wengine wanaoiba mafuta kutoka kwenye bomba kuu katika Bandari ya Dar es Salaam. Hatua hii imekuja baada ya kukamatwa kwa watu watano ambao ni mmiliki wa nyumba na wapangaji wanne katika eneo la Tungi wilayani humo, wakiwa wameunga mabomba kutoka kwenye bomba kuu ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons