WASANII ASLEY , SHILOLE WASAINI NA TTCL KUNOGESHA KAMPENI YA RUDI NYUMBANI KUMENOGA

  Mkurugenzi Mkuu wa TTCL Bw. Waziri Kindamba (kulia) akibadilishana hati ya mkataba na msanii Zuena Mohamed maarufu kama Shilole ‘Shishi Baby’ (kushoto), mara baada ya kusaini mkataba huo. Mkataba huo ambao pia msanii Asley Isihaka maarufu kama Dogo Asley amesaini na kampuni hiyo, waasanii hao wameingia makubaliano kushiriki katika Kampeni kubwa ya Rudi Nyumbani…

Read More

Bomu la Airtel, Vigogo Hawa Wamekalia Kuti Kavu

Moto aliouwasha Rais John Magufuli wiki iliyopita kwa kutaka ufanyike uchunguzi wa kina juu ya umiliki halisi wa kampuni ya Airtel umegeuka bomu linaloelekea kuwalipukia vigogo wanaoheshimika kwa kiasi kikubwa hapa nchini, uchunguzi wa JAMHURI umebaini. Tayari Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Wizara ya Fedha, Msajili wa Hazina na vyombo vingine vimeunda…

Read More