Tag Archives: tundu lisu

TUNDU LISSU AKAA MWENYEWE PASIPO MSAADA WA DAKTARI

Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu leo amekaa mwenyewe pasipo msaada wa Daktari katika Hospital ya Nairobi anapopatiwa matibabu , baada ya kushambuliwa kwa risasi nyumbani Area D mjini Dodoma. Hali yake inazidi kumarika siku baada ya siku, ambapo siku mbili zilizopita tulishuhudia pia kwa mara ya kwanza aliweza kutembea.

Read More »

ASANTE MUNGU, SASA TUNDU LISSU AFANYA MAZOEZI YA KUTEMBEA

HALI ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu inaendelea kuimarika na ameanza rasmi kufanya mazoezi ya viungo katika Hospitali ya Nairobi nchini Kenya ambako anapatiwa matibabu ya majeraha aliyoyapata baada ya kushambuliwa kwa risasi nyumbani kwake Area D, mjini Dodoma mnamo Septemba 7, 2017. Picha kutoka Hospitali ya Nairobi imemuonesha Lissu akifanya mazoezi ya kusimma kwa msaada wa madaktari wa ...

Read More »

Hivi Ndivyo Rais Mstaafu Aly Hassan Mwinyi alivyomtembelea Tundu Lissu Hospitalini Nchini Kenya

Rais mstaafu Aly Hassan Mwinyi amemtembelea mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu aliyelazwa Hospitali ya Nairobi nchini Kenya. Rais Mwinyi akiambatana na mkewe na maofisa wa ubalozi wa Tanzania nchini Kenya, wamemtembelea Lissu hospitalini hapo alipolazwa tangu Septemba 7  anakotibiwa baada ya kuuguza majeraha ya kushambuliwa kwa risasi zaidi ya 30 akiwa nyumbani kwake mjini Dodoma. Rais Mwinyi anakuwa ...

Read More »

Samia Suluhu Amtembelea Tundu Lissu Nairobi Hospital

MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan leo Jumanne Novemba 28, 2017 amemtembelea na kumjulia hali Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu aliyelazwa Hospitali ya Nairobi. Samia amtembelea Lissu baada ya kumalizika kwa hafla ya kumwapisha Rais Uhuru Kenyatta kuwa Rais wa Jamhuri ya Kenya katika uwanja wa Moi Kasarani Mjini Nairobi. Mhe. Samia Suluhu Hassan alimwakilisha Rais wa Jamhuri ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons