Tag Archives: waziri Ummy Mwalimu

Serikali Yafafanua utakaotumika wa kupima watu UKIMWI kwenye Baa

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema upimaji wa Kifua Kikuu (TB) na UKIMWI kwenye baa hautakuwa wa lazima. Waziri wa Afya ameyasema hayo baada ya kuzuka hofu miongoni mwa wananchi ambapo baadhi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii wamekuwa wakipotosha kuwa, upaji huo utafanywa kwa lazima. Ameyasema hay wakati akizungumza katika maadhimisho wa ...

Read More »

Sababu ya serikali kupunguza bajeti ya Wizara ya Afya Hizi Hapa

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto imesema kuwa, kupungua kwa asilimia 19.6 bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka 2018/19 ikilinganishwa na mwana 2017/18 kunatokana na dhamira ya serikali kutekeleza bajeti hiyo kwa kutumia fedha za ndani ya nchi. Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu akijibu hoja mbalimbali zilizoibuka ameeleza kuwa, wabunge walishauri serikali ipunguze utegemezi kutoka kwa ...

Read More »

Wakurugenzi wasiotenga fedha za mikopo kwa wanawake kufikia June kutumbuliwa.

  Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto  Mh. Ummy Mwalimu ametoa miezi mitatu kwa wakurugenzi wote nchini kuhakikisha wanatenga asilimia 4 za fedha za halmashauri kwaajili ya kuwapa wanawake mikopo ili waweze kujikwamua kiuchumi na kuunga mkono juhudi za serikali katika uchumi wa viwanda. Amesema kuwa serikali haitasita kuwawajibisha wakurugenzi watakaokiuka maelekezo ya serikali yanayolenga kutekeleza ...

Read More »

WAZIRI UMMY AIKABIDHI TIMU YA COASTAL UNION KIWANJA,AWAHIDI NEEMA

  WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga katika akiwa na baadhi ya viongozi wa timu ya Coastal Union wakati akipokwenda kuwakabidhi kiwanja eneo la Maweni Jijini Tanga kushoto ni Mkurugenzi wa Jiji la Tanga Daudi Mayeji kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya City Plan Consultants (T) Limited ...

Read More »

WAZIRI UMMY AIPA SAPOTI KLABU YA AFRICAN SPORTS

Mwakilishi wa MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga (CCM) na Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na watoto Ummy Mwalimu,Khatibu Kilenga kushoto akimkabidhi unga nahodha wa timu ya African Sports ambapo kiongozi huyo alitoa mchele kg100,unga wa sembe kg 100,Ngano kg 50,maharage kg 50,sukari kg 50,mafuta ya kupikia lita 20,chumvi ,sabuni na dawa za meno Sehemu ya vitu vilivyotolewa ...

Read More »

WAZIRI WA AFYA AKIRI CHANGAMOTO YA UHABA WA MADAKTARI

 Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu  akizungumza na wagonjwa waliofika katika Hospitali ya Rufaa ya Amana kwa ajili ya kupatiwa matibabu wakati alipofanya ziara ya kukagua hospitali hizo mara baada ya Rais Dk John Pombe Magufuli kuagiza Hospitali hizo zianze kusimamiwa na Wizara ya Afya.  Mganga Mkuu wa Hospitali ya Rufaa Amana, Dr Meshack Shimwela  ...

Read More »

AFRICAN SPORTS YAPATA NEEMA KUTOKA KWA WAZIRI UMMY MWALIMU

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia,Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu katikati akimkabidhi vifaa vya michezo ambavyo ni viatu Mwenyekiti wa timu ya African Sports Awadhi Salehe Pamba ikiwa ni kuipa motisha timu hiyo kufanya vizuri kwenye michuano wanayoshiriki ili waweze kufanya vizuri na hatimaye kuweza kurejea daraja la kwanza na Ligi kuu kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Tanga,Meja ...

Read More »

Ummy Mwalimu Asifia Benk ya NMB Kwa Kutoa Elimu ya Fedha kwa Watoto, Wazazi na Vijana

  Waziri Wa afya maendeleo ya jamii, jinsia wazee na watoto,Ummy mwalimu amesema Benki ya NMB katika kipindi hiki cha serikali ya Awamu ya tano chini ya Rais Dkt. John Magufuli imedhamiria kuboresha na kuendeleza elimu ya fedha katika ngazi zote hususan katika wanajamii Wa Tanzania. Hayo ameyaeleza Wakati akizindua rasmi kampeni ya kutoa elimu ya fedha kwa watoto, wazazi ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons