Tag Archives: world cup 2018

Hawa Hapa Wachezaji waliobeba Tuzo Kwenye Kombe la Dunia 2018

KIUNGO na Nahodha wa Timu ya Taifa ya Croatia, Luka Modric ameibuka mshindi wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashindano ya Kombe la Dunia mwaka 2018 na kupewa Mpira wa Dhahabu wakati timu yake ikipoteza mchezo wao wa fainali kwa kukubali kichapo cha bao 4-2 kutoka kwa Ufaransa huko Urusi.   Modric ambaye amemaliza mashindano akiwa na mabao mawili, ameisaidia ...

Read More »

Afrika tulipokosea Urusi Moscow, Urusi

Kabla ya michuano ya Kombe la Dunia kuanza nchini Urusi mwaka 2018, kulikuwa na matumaini makubwa kuwa Afrika ingeendeleza kasi ya ukuaji katika soka kama ilivyofanya nchini Brazil mwaka 2014 wakati wawakilishi wake wawili – Nigeria na Algeria walipofikia hatua ya mtoano kwa mara ya kwanza. Badala yake bara zima litakuwa linajiuliza ni wapi chombo kimekwenda mrama, kwani timu za ...

Read More »

Timu za Afrika sikio la kufa

NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM   Wakati michezo kadhaa ya Kombe la Dunia ikiwa imepigwa katika viwanja mbalimbali nchini Urusi, timu kutoka barani Afrika hazioneshi kulitetea vema bara hili kama baadhi yake zilivyotamba wakati zikielekea Urusi.   Hadi Jumapili iliyopita, timu za Misri, Morocco na Nigeria zilikuwa zimecheza mechi zake za kwanza kwenye makundi yao huku zote zikipoteza michezo ...

Read More »

Kombe la Dunia Kuanza kensho na Wenyeji Urusi Dhidi ya Saudi Arabia

Imebaki siku moja kuanza kwa Mashindano ya Kombe la dunia litakalo anza kule Urusi kesho Alhamisi tarehe 14 kati ya Wenyeji Urusi dhidi ya Saudi Arabia. Timu zipo 32 ambazo ni hizi hapa Kundi A: Russia, Saudi Arabia, Egypt na Uruguay Kundi B Morocco, Iran, Portugal na Spain Kundi C France, Australia, Peru na Denmark Kundi D Argentina, Iceland, Croatia, ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons