Wakenya wameshika nafasi ya pili kutawala katika tuzo za Africa Magic Viewers Choice Awards maarudu kama (AMVCA) zilizomalizika hivi punde hapa jijini Lagos, Nigeria.
Wakenya wameshinda tuzo sita kati ya nane walizokuwa wakiwania na kuwapiga kumbo Watanzania kw aupande wa Afrika Mashariki kwa kuwa hawakutoka na tuzo yoyote.
Tanzania ilikuwa ikiwania tuzo mbili kupitia Amil Shivji na Lester Millardo ambao hawakufanikiwa kushinda.
Nigeria, kama ilivyo kawaida ndiyo wametawala huku mwanamama, Omotola Jalade-Ekeinde akiibuka na tuzo ya mwigizaji bora upande wa drama.
Mkongwe wa cinematographer, Tunde Kelani kutoka Nigeria amefanya vizuri kwa kutokea na kushinda katika tuzo nyingi zaidi huku mshiriki wa zamani wa Big Brother Nigeria, Bisola Aiyeola akiibuka mwigizaji bora w atuzo ya Trail Blazer Award.
TUZO ZILIZOSHINDANIWA…
Best Actor In A Comedy
Odunlade Adekola – A Million Baby
Best Actress in A Comedy And TV Series
Nyce Wanueri – Auntie Boss
 
Best Cinematography Movies/TV Series
Okafor’s Law – Yinka Edward
Best Picture Editor
18 Hours – Mark Maina
Best Sound Editor
Tatu – Kolade Morakinyo and Pius Fatoke
Best Soundtrack Movies/TV Series
Tatu – Evelle
Best Supporting Actor
Falz – New Money
 
Best Supporting Actress
Lydia Forson – Isoken
Best Actress in a Drama/TV SeriesOmotola Jalade Ekeinde – Alter Ego
Best Actor in a Drama Series
Adjetey Anang – Keteke
Best Movie West Africa
Isoken – Jade Osiberu
Best Movie East Africa
18 Hours – Phoebe Ruguru
Best Movie Southern Africa
The Road to Sunrise – Shemu Joyah
Best Director
Jade Osiberu – Isoken
Best Overall Movie
18 Hours – Phoebe Ruguru
 
Best TV series
This Is It – Dolapo Adeleke
 
Best Art Director
Lotanna – Tunji Afolayan
Best Lighting Designer
 Tatu – Akpe Ododoru and Tunde Akinniyi
Best Costume Designer Movie Or Tv Series
Potato Potahto – Christie Brown, Yolanda Okereke, Duaba Serwa, Looks Like A Good Man, Charlotte Prive, Sparkles Jewelry Ghana, Kel Vincent
Hakkunde – Joan Gbefwi
The Bridge – Ngozi Obasi And James Bessinone

By Jamhuri