Sherehe za simba zilifanyika jana usiku na kushuhudia baadhi ya wachezaji kubuka na tuzo. tuzo hizo ziliandaliwa na tajiri Mohamed Dewiji na kuziita

 

Golikipa bora ni  Aishi manura

Beki bora ni Erasto ambapo alikuwa anapambana na Shomali Kapombe na Mlipili

Kiungo bora ni Shiza Kichuya  ambapo alikuwa anapambana na Mkude na Kotei

Mfungaji Bora ni Emanuel Okwi ambapo alikuwa anapambana na John Bocco

Mchezaji bora wa mwaka ni John Bocco ambapo alikuwa anashindana na Okwi na Shiza Kichuya

Aliyefunga gori bora la mwaka ni John Bocco alilifunga dhidi ya Mwadui

Mchezaji bora wa Kike ni Zainabu Pazi

Mchezaji mdogo wa mwaka ni Rashidi Juma

Shabiki bora wa Mwaka nini Fii Kambi (Marehemu alifariki mwaka jana Decemba)

Muhamasishaji bora ni Haji Manara

Muhamasishaji bora wa kwenye mitandao ni Mwana FA alikuwa anapambana na Zuberi Kabwe

Tawi bora la Simba Ubungo Terminal walikuwa wanapambana na Tawi la wazo hill.

Kiongozi bora wa simba Kaimu Rais Salum Abdullah

Tuzo ya heshima imekwenda kwa Selemani Matola

Bechi lote la Ufundi limepewa tuzo kwa kazi yao waliyoifanya ikiongozwa na aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo Pierre Lechantre

 

Katika sherehe hizo watu mashuhuli waliweza kudhulia wakiwepo

Rais Mstaafu wa Awamu ya pili, mzee Mwinyi, wasanii wakongwe kama Professor Jay, Mwana FA

 

 

 

 

 

 

1797 Total Views 2 Views Today
||||| 0 I Like It! |||||
Sambaza!