WCB wakiwa katika picha ya pamoja, katikati ni msanii wao mpya, Mbosso.

 

BURUDANI ya aina yake imepigwa na wasanii wa Lebo ya WCB usiku wa kuamikia leo wakati kumtambulisha msanii mpya katika kundi hilo, Mbosso ambaye awali alikuwa Yamoto Band kabla ya kundi hilo kuvunjika.

Mbosso, Diamond na Rayvanny wakikamua.

 

WCB ikiongozwa na Lejendari, Diamond Platnumz, wamemtambulisha huyo katika Ukumbi wa Hyatt Legency Hotel jijini dar es Salaam na kuhudhuriwa na mastaa kibao wakiwemo, Wema Sepetu na wengine pamoja na wanahabari.

 

Diamond akimsalimia mama yake, Bi Sanura ukumbini hapo.

WCB na mashabiki waki-enyoj event.

WCB na mashabiki katika picha ya pamoja.

Diamond akikata mauno.

ANGALIA VIDEO YA UTAMBULISHO

4328 Total Views 4 Views Today
||||| 0 I Like It! |||||
Sambaza!