Month: January 2018
Haya Hapa Magazeti ya Leo Januari 28, 2018
Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Jumapili Januari,28, 2018 nimekuekea hapa
Haya Hapa Magazeti ya Leo Januari 27, 2018
Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Jumamosi Januari,27, 2018 nimekuekea hapa
Tido Mhando Afikishwa Mahakamani
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Tanzania (TBC), Tido Mhando (kushoto), amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar leo kwa tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka wakati akiwa TBC. Tido ambaye kwa sasa ni Mkurugenzi wa Azam…
Makonda Asema Wtaendelea kuwatibu wanaomtukana Rais Dkt Magufuli
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amefunguka na kusema kuwa wao kama viongozi wanazidi kuimarisha huduma mbalimbali za afya ili watu ambao wanamtusi Rais Dkt John Pombe Magufuli wazidi kuwa na afya nzuri. Makonda amesema hayo leo…
SANCHEZ KAZINI LEO AKIWA NA UZI WA MAN UNITED
Alexis Sanchez. MANCHESTER United inatarajiwa kuwa uwanjani leo Ijumaa kuivaa Yeovil Town katika raundi ya nne ya Kombe la FA. United itakuwa ugenini kuivaa timu hiyo ya daraja la pili ambapo kuna mambo kadhaa yatakuwa gumzo juu ya mchezo huo….