JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: June 2018

Ivan Dukee aibuka mshindi Urais Colombia

Mshindi wa uchaguzi wa urais nchini Colombia, Ivan Dukee amewahutubia wafuasi wake mjini Bogota. Bwana Dukee, mwenye umri wa miaka 41,aliahidi kufanyia marekebisho mkataba wa amani uliyofikiwa kati ya serikali na wapiganaji wa FARC. Alijizolea asilimia 54 ya kura ikiwa…

Wahamiaji wakataliwa na nchi za Ulaya Hispania

Meli tatu zimeegesha nchini Hispania,zikiwa mamia ya wahamiaji waliokolewa majini wiki iliyopita wakitokea nchini Libya.Wameorodheshwa na kuendelea kupatiwa matibabu na misaada. Serikali ya Hispania imekubali kuwachukua,baada ya Italia na Malta kukataa meli hizo zilizowaokoa wahamiaji hao kuegesha katika bandari.Tukio hili…

Magazetini Leo Jumatatu, 18, June, 2018

Ni asubuhi nyingine tena na habari kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania June 18, 2018 kuanzia ya, Udaku, Michezo na Hardnews kujionea yote makubwa yaliyoandikwa.

TTCL Corporation yaendeleza utaratibu wake wakusaidia wahitaji

Add caption   Meneja Uhusiano wa TTCL Tanzania, Ndugu Nicodemus Thom Mushi (kulia), akikabidhi msaada wa vyakula na mahitaji mengine kwa niaba ya Mkugenzi Mkuu wa TTCL Corporation, Bw. Waziri Kindamba kwa watoto waishio katika mazingira magumu ili kuwawezesha kufurahia…

Muda wa usajili Vyombo vya Habari Mtandaoni waongezwa

Mamlaka ya kudhibiti Mawasiliano nchini, TCRA imeongeza muda wa usijili kwa wamiliki wa vyombo vya habari mtandaoni {Blog, Radio au TV} ambao bado hawajapata leseni ya utoaji huduma hiyo kuwa tayari wawe wamekamilisha usajili huo mpaka ifikiapo June, 30, 2018….

Abass Tarimba Ataja Mikakati ya Kuivusha Yanga

Wakati presha ya usajili wa wachezaji wapya kwa klabu za hapa Tanzania ukiendelea kushika kasi, Mwenyekiti wa Kamati Maluum ya kuivusha Yanga wakati wa mpito, Abass Tarimba, amesema jukumu kubwa la Kamati hiyo ni kushauri. Tarimba ameeleza kazi hiyo wanaifanya…