JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: June 2018

Wanafunzi waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Tano Watajwa

Dodoma. Wanafunzi 70,904 waliohitimu kidato cha nne mwaka jana wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano, vyuo vya ufundi na vya elimu ya kati kwa mwaka 2018, huku wengine 21,808 waliokuwa na sifa za kuchaguliwa wakiachwa. Akizungumza na waandishi wa habari…

Ndemla Kuondoka Simba Sc

Tatizo siyo fedha, kwani Mohammed Dewji ‘Mo’ anaweza kuzitoa isipokuwa masharti magumu aliyoipa Simba ndiyo sababu ya kiungo mkabaji wa timu hiyo, Said Ndemla asuesue kusaini mkataba mpya wa kuendela kubaki kikosini humo. Simba na kiungo huyo hivi karibuni wameshindwa…

KOMBE LA DUNIA URUSI LEO NI ZAMU YA BRAZIL, MECHI ZINGINE KWA UJUMLA HIZI HAPA

Michuano ya Kombe la Dunia huko Urusi inaendelea tena Jumapili ya leo kwa jumla ya mechi tatu kupigwa. Brazil ambao wametwaa ubingwa wa mashindano hayo mara tano watakuwa wanacheza na Switzerland, wakati Ujerumani watakuwa wanakipiga na Mexico. Ratiba kamili ya…

Ukawa kuwasilisha Bajeti yao Jumatatu

Chama cha Chadema ambacho ni chama kikuu cha Upinzani hapa Tanzania umesema kuwa utawasilisha bajeti yake mbadala bungeni siku ya Jumatatu, waziri kivuli wa fedha na mipango Halima Mdee amesema. Hii itakuwa mara ya kwanza kwa upunzani kuwasilisha maoni yake…

UFARANSA YAANZA VIZURI KOMBE LA DUNIA DHIDI YA AUSTRALIA

Ufaransa imefanikiwa kuibuka na ushindi wake wa kwanza katika michuano ya Kombe la Dunia mwaka huu nchini Russia wa mabao 2-1 dhidi ya Australia. Mabao ya mchezo huo yametiwa kimiani na Antoine Griezmann katika dakika ya 58 kwa njia ya…