JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: June 2018

Tuzo za Mo Awards Kutolewa leo

Tuzo za Simba Mo Awards zinafanyika leo katika ukumbi wa Hotel ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam. Tuzo hizo zitakuwa maalum kwa watu wa klabu hiyo waliofanikisha Simba kufanya vizuri kwa msimu wa 2017/18.   Wanachama, viongozi, mashabiki na…

Wachambuzi wa Soka Wasema Alikiba Anaweza Kucheza Ulaya

Baadhi ya Wachambuzi wa Soka nchini akiwemo kocha  wa Dodoma FC, Jamhuri Kihwelo  amesema msa­nii wa Bongo Fleva nchini, Ally Salehe Kiba ‘Alikiba’ ni mchezaji mwenye uwezo wa kucheza Ligi Kuu Bara, na kama aki­andaliwa vizuri anaweza kucheza hata Ulaya….

Trump na Kim Jong-un wawasili Singapore

Rais wa Marekani Donald Trump na Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un wamewasili Singapore kwa ajili ya mkutano wao unaoelezwa kuwa wa kihistoria. Trump aliwasili saa chache tu baada ya Kim kuwasili na ujumbe wake. Mkutano wao ambao ni wa…

Magazetini leo Tarehe 11

Ni asubuhi nyingine tena na habari kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania June 11, 2018 kuanzia ya, Udaku, Michezo na Hardnews kujionea yote makubwa yaliyoandikwa.

MTANZANIA KUTUNUKIWA SHAHADA YA HESHIMA MAREKANI

  MMOJA wa wataalam na watafiti wa magonjwa ya akili nchini, Profesa Slyvia Kaaya, ni miongoni mwa watu sita watakaotunukiwa shahada za heshima na Chuo Kikuu cha Dartmouth cha Marekani leo.   Prof. Kaaya, wa Chuo cha Sayansi ya Afya…

BAADA ya Simba kumtimua Kocha Mkuu, Mfaransa, Pierre Lechantre, mabosi wa timu hiyo wamefikia uamuzi wa kuikabidhi timu hiyo kwa Mrundi, Masoud Djuma Irambona ambaye atasaidiwa na mkongwe, Selemani Matola.   Djuma ambaye ndiye kocha msaidizi wa Simba kwa sasa,…