JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: August 2018

Chadema yamvua uanachama diwani wake Sumbawanga

  Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoa wa Rukwa, kimemfuta uanachama na kumvua udiwani, Dickson Mwanandenje aliyekuwa diwani wa kata ya Majengo wilaya Sumbawanga mkoani hapa. Mwenyekiti wa Chadema mkoa huo, Shadrack Malila maarufu Ikuwo amesema leo Agosti 11…

Mtatiro Ajiondoa CUF, Ajiunga CCM

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha CUF Julius Mtatiro amejivua uanachama wa chama hicho nakujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM huku akisema kuwa huu ni wakati wake wakwenda kutumia vipaji vyake kikamilifu pia kuwa balozi mkubwa wa Rais Magufuli Ndani na…

MANCHESTER UNITED YAANZA LIGI, KWA USHINDA DHIDI YA LEICESTER

Manchester United kimeanza harakati za kuwania ubingwa wa Ligi Kuu England msimu wa 2018/19 kwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Leicester City. Katika mchezo huo uliopigwa Uwanja wa Old Trafford, United imejipatia mabao yake kupitia kwa Paul…

Mahakama yamuachia huru mbunge Haonga

Mahakama ya Wilaya ya Mbozi, Songwe imemuachia huru mbunge wa Mbozi (Chadema), Pascal Haonga na wenzake wawili baada ya kukutwa hawana hatia katika kesi iliyokuwa ikiwakabili. Haonga na wenzake, Wilfredy Mwalusamba (katibu wake) na Mashaka Mwampashi wameachiwa huru leo mchana…

Uingereza yaipatia Tanzania Sh307 bilioni

Serikali ya Uingereza imetoa msaada wa Sh 307.5 bilioni kwa Tanzania ikiwa ni sehemu ya kumuunga mkono Rais John Magufuli katika elimu, mapambano dhidi ya rushwa na uboreshaji huduma za afya. Msaada huo umetangazwa leo Ijumaa Agosti 10, 2018 na…