Year: 2018
Waenda Uingereza kuchangisha fedha za ‘mapambano’ Loliondo
Mgogoro wa masilahi katika Pori Tengefu la Loliondo (LGCA) unafukuta upya baada ya Watanzania takriban 20 kutarajiwa kusafiri kwenda nchini Uingereza wiki hii kuomba fedha za kuendeshea mapambano dhidi ya serikali. Uchunguzi uliofanywa na JAMHURI umebaini kuwa harambee ya kukusanya…
Mwenyekiti Baraza la Ardhi akataliwa
Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi na Nyumba Wilaya ya Moshi, James Silas, amekataliwa kuendelea kusikiliza shauri la ardhi namba 175/2017 lililopo mbele yake. Oktoba 6, mwaka huu, Donald Kimambo na David Kimambo waliandika barua wakimtaka Silas kujitoa kusikiliza shauri lao….
Hongera Rais Magufuli
Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais John Magufuli imetimiza miaka mitatu tangu ilipoingia madarakani mwaka 2015. Rais Magufuli alishika uongozi nchi ikiwa inakabiliwa na matatizo mengi ya kiuchumi, kijamii na kimaadili. Hatuna kipimo sahihi cha kubainisha kazi zilizokwisha…
Jifunze kufikiri
Kuna wakati utahitaji kutumia akili za ziada zaidi ya kutumia akili za darasani. Ni watu wachache mno ambao wana uwezo huo. Tunaweza kusema watu hawa ni watu “waliojiongeza” kiakili. Watu wa namna hii ni watu wanaofikiri. “Palipo na mafanikio: Watu…
USAID, JET wafunda wanahabari
“Watanzania hawajitangazi, wao wamekazana kutangaza wanyamapori na vivutio vya utalii peke yake, kama hatujitangazi kwanza sisi wenyewe, hawa wanyamapori mnafikiri wanatutangaza vyakutosha huko duniani?” Ni Maneno ya Dk. Ellen Oturu, Mratibu wa Miradi wa Chama cha Waandishi wa Habari za…
Raila Odinga anakuwa Rais Kenya (6)
Wiki iliyopita makala hii iliishia kwa kusema wawili hao (Ruto na Waigui) wanahaha kusafisha majina yao, huku Rais Kenyatta akiwa kimya. Jambo jingine linalomtia tumbo joto (Ruto) ni kitendo cha Odinga kujipenyeza kwenye Mkoa wa Bonde la Ufa, ambao ni ngome…