JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2018

Makonda azua gumzo bungeni

Na Editha Majura, Dodoma Ushawishi wa wabunge wa kutaka Bunge na Serikali, kumchukulia hatua Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kutokana na hatua yake ya kuita na kusikiliza hadharani vilio vya baadhi ya wanawake waliotelekezwa na kutopewa…

Mbunge apongeza kutimuliwa Dk Machumu

*JAMHURI lilianika ukweli wote likatishwa * CAG amaliza kazi, Mpina apongezwa DAR ES SALAAM NA CLEMENT MAGEMBE Mbunge wa Mafia, Mbaraka Dau amesema amefurahishwa na hatua iliyochukuliwa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina kumsimamisha kazi Meneja wa Taasisi…

Wakenya kukusanya ada ya maegesho Dar

URI limethibitishiwa. KAPS ilizishinda kampuni kadhaa za Kitanzania zilizoshiriki kuwania zabuni hiyo ambayo uamuzi wake ulitangazwa Septemba 13, mwaka huu. Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Sipora Liana, tayari ameiandikia KAPS Ltd barua ya kuwataarifu ushindi wao kwenye zabuni…

Rais Tserese Khama Ian Khama nguzo ya mafanikio ya Botswana

Na Mkinga Mkinga Aliyekuwa Gaborone, Botswana. Kusini mwa jangwa la Sahara, pamezoeleka kuwa na majangwa kadhaa, ukienda nchini Namibia, utakutana na jangwa la Namib ambalo linakwenda kuungana na jangwa jingine la Kalahari, lililoko nchini Botswana. Nimepata fursa ya ‘kupita’ Botswana…

Serikali idhibiti ukuaji deni la Taifa

Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad imeangazia mapungufu kadhaa ikiwamo kupanda kwa deni la Taifa. Profesa Assad amewasilisha ripoti hiyo bungeni na kuitolea ufafanuzi kwa umma, kupitia mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika…

Kuna uwiano wa msamiati na maadili ya mtu?

Nilisoma, hivi karibuni, makala inayotoa matokeo ya taarifa ya kitafiti juu ya uwiano uliyopo kati ya msamiati wa mtu na uwezo wake wa kumudu somo la hisabati. Matokeo yanaonyesha kuwa msamiati mzuri unaongeza uwezo wa kumudu somo la hisabati. Tafiti…