Year: 2018
MAJALIWA AONGOZA MAZISHI YA ALI MTOPA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiasa jamii nchini kujiepusha na migogoro kwa vile haina tija na badala yake idumishe amani, upendo na uadilifu ili kumuezi mwanasiasa mkongwe nchini, marehemu Alhaj Ali Mtopa. Aliyasema hayo jana (Jumatano, Aprili 11, 2018) alipomuwakilisha…
Nguvu ya msamaha katika maisha
“Kutokusamehe ni kama kunywa dawa ya panya na kungoja ili panya afe.”- Anne Lamott. Alikuwapo msanii mmoja jina lake aliitwa Pablo Picasso 1881-1973, raia wa Hispania. Msanii huyu alikuwa anataka kuchora kitu kizuri duniani, msanii huyu alimwendea Padre mmoja na…
Wanafunzi ‘Shule ya Waziri Jafo’ wasomea chini ya mti
DODOMA EDITHA MAJURA Shule ya Msingi Nzuguni ‘B’ ya mkoani Dodoma, inakabiliwa na uhaba wa vyumba vya madarasa hivyo kuwalazimu wanafunzi kusoma kwa zamu. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Seleman Jafo, ndiye…
Na Mwinjilisti Kamara Kusupa
0767 311422 Ninaandika barua hii nikiamini kwamba endapo utaitilia maanani na ukauelewa ujumbe wake, utaepusha janga na maafa kwa nchi. Usipoona umuhimu wake, kwangu si muhali, ninachojali ni kuufikisha ujumbe kwako na kwa Watanzania unaowatawala. Nimelitafakari kwa umakini onyo…
Waziri Mkuu ataja mafanikio ya JPM
NA MWANDISHI WETU, DODOMA Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ametaja mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Tano, na kutoa mwito kwa wananchi kuzidi kuunga mkono juhudi za serikali. Hayo yamo kwenye hotuba yake kuhusu Mapitio na Mwelekeo wa Kazi za Serikali…