Year: 2018
Wananchi Mtwara walia na Tanesco
MTWARA NA CLEMENT MAGEMBE Wananchi wa Mtwara wamelilia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwa kukatika kwa umeme mkoani humo kuwa unawanyima fursa ya kuendesha shughuli zao za uzalishaji mali na kujikwamua na umaskini. Wakizungumza na JAMHURI mkoani humo mwishoni mwa…
Braziri Yalipa Kisasi, Yaitandika Ujerumani Bao 1-0
Ujerumani walishindwa kwa mara ya kwanza katika mechi 23 baada ya mshambuliaji wa Manchester City Gabriel Jesus kuwafungia Brazil bao moja na kuwapa ushindi wa 1-0 jijini Berlin. Hiyo ilikuwa mara ya kwanza kwa mataifa hayo mawili kukutana uwanjani tangu…
Imethibitishwa Kweli Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un amezuru China
Baada ya siku ya uvumi wa siku nyingi, imethibitishwa kwamba kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un amezuru China. Ziara hiyo, ambayo ilithibitishwa na China na Korea Kaskazini, ndiyo ya kwanza inayofahamika ya Bw Kim nje ya taifa lake tangu alipochukua…
TPA yafungua ofisi Rwanda
Na Mwandishi Maalum Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imefungua ofisi katika Jiji la Kigali nchini Rwanda itakayotoa huduma zote za Bandari. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mheshimiwa Prof. Makame Mbarawa ndiye amefungua ofisi hii hivi karibuni. Waziri…
Tanzania inashika mkia kwa furaha duniani?
Kuna matokeo ya hivi karibuni ya utafiti uliyofanyika kupima kiwango cha furaha ya watu wa mataifa duniani na Tanzania inashika nafasi ya 153 kati ya nchi 156 zilizoshirikishwa kwenye utafiti huo. Finland inashika nafasi ya kwanza, wakati Burundi inashika nafasi…