Year: 2018
FULL TIME YANGA SC VS ST LOUS (1-0)
Dakika ya 8: Mabao 0 -0 Dakika ya 12: Yanga wanapata kona Dakika ya 15: Milango bado migumu Yanga 0- St Lous 0 Dakika ya 16: Buswita anapiga shuti linatoka nje ya lango Dakika ya 20: Penaaaaaati, Yanga wanapata penati,…
LEO NI LONDON DERBY, TOTENHUM VS ARSENAL
Mahasimu wa kubwa kutoka jiji la London, Totenhum Spurs na Arsenal leo wanakuta kwenye mchezo wa Ligi kuu Uingereza, Totenhum watakuwa nyumbani ikiwakaribisha Arsenal majira ya saa 9: 30 mchana. Mchezo huo unaonekana kuwa mgumu kwa timu zote mbili licha…
YANGA KUANZA MBIO ZA KLABU BINGWA AFRIKA LEO TAIFA
Yanga SC leo wanatupa kete yao ya kwanza katika michuano ya Ligi Mabingwa Afrika watakapomenyana na Saint Louis Suns United ya Shelisheli katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Kwanza jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Mchezo…
Hawa Hapa wajumbe wa Baraza la Michezo la Taifa Walioteuliwa na Mwakyembe
Waziri wa Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison G. Mwakyembe (Mb) kwa mujibu wa Sheria ya Baraza la Michezo la Taifa (BMT) ya mwaka 1967 pamoja na marekebisho yake ikisomwa na muundo wa shughuli za Baraza (Provisions of…
Tambwe Hiza kuzikwa Leoa, Makaburi ya Chang’ombe, Temeke, Dar es Salaam
MWILI wa Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Richard Tamilway maarufu kwa jina la ‘Tambwe’ aliyefariki dunia juzi asubuhi nyumbani kwake Mbagala Kizuiani, unatarajiwa kuzikwa leo Jumamosi katika Makaburi ya Temeke Chang’ombe jijini Dar es Salaam. Kaka wa…