JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2018

CCM, wembe ubaki ule ule

Taarifa kwamba Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally, kumtaka aliyekuwa mgombea wa urais wa CCM, Bernard Member kufika ofisini kwake kujibu tuhuma za kuendesha mikakati ya “kukwamisha” juhudi za Rais John Magufuli zimepandisha kidogo joto la…

CAF yaiomba Afrika Kusini wenyeji AFCON

Karne ya 21 ina mambo mengi yanayogonga vichwa vya habari duniani, achana na kifo cha Rais wa 41 wa Marekani, George H.W. Bush, ambaye mazishi yake yamefanyika mwishoni mwa wiki iliyopita. Achana na habari ya Bernard Membe na CCM yake,…

Rushwa yavuruga Jiji

Rushwa imevuruga safu ya uongozi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam katika mradi wa ujenzi wa stendi ya mabasi Mbezi Luis, na sasa viongozi wote wanashikana uchawi, JAMHURI limebaini. Uchunguzi uliofanywa na JAMHURI umebaini kuwa kiwango cha kuaminiana…

Sera ya uzazi wa mpango ibadilishwe

Septemba 9, mwaka huu Rais John Magufuli alipokuwa akizungumza na wananchi akiwa Meatu mkoani Simiyu aligusia uzazi wa mpango. Baada ya kuona, kusikia na kusoma mitazamo na maoni ya watu mbalimbali juu ya hoja aliyoitoa Rais Magufuli, nimeona nami nichangie…

Aliyemhonga ofisa TRA ahukumiwa Moshi

Meneja wa Fedha wa kampuni za ujenzi za Dott Services (TZ) Ltd na General Nile Company for Roads and Bridges/Dott Services JV, Suresh Kakolu, amehukumiwa kulipa faini ya Sh milioni moja, hivyo kukwepa kifungo cha miaka mitatu jela kwa kosa…

Ukatili wa kijinsia waongezeka

Matukio ya ukatili wa kijinsia yanaongezeka. Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesema mwaka jana kulikuwa na matukio 41,000; kati ya hayo matukio 13,000 yaliwalenga watoto. Wizara inasema asilimia 27 ya wasichana wenye umri wa miaka…