JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2018

TANZIA: ZUBER MSABAHA ALIYEKUWA MTANGAZAJI WA REDIO FREE AFRIKA AFARIKI DUNIA

Aliyekuwa mtangazaji maarufu wa kipindi cha bolingo time cha redio free ya Mwanza, Zuber Msabaha amefariki dunia na maziko yake ni leo Mabatini Jijini Mwanza. Mungu ailaze roho ya marehemu Msabaha alikuwa na mvuto na uhodari wa kuendesha kipindi cha…

PIGO KWA MARA NYIGINE TENA MADIWANI WA CHADEMA LONGIDO WAJIUNGA NA CCM

  Madiwani watatu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wilaya ya Longido, mkoani Arusha, wamejivua uanachama wa chama hicho na kujiunga na CCM, pia  jana hiyo hiyo tulishuhudia Mwanachadema mwingine, Muslim Hassanali alijiunga na CCM, Dar es Salaam. Kujiunga…

Mamia ya Wahamiaji Wahofiwa Kuzama Libya

Mamia ya watu wanahofiwa kupotea baada ya boti iliyobeba wahamiaji kuzama pwani ya Libya. Walinzi wa majini wa Libya wanasema kuwa watu mia tatu wameokolewa kutoka boti nyingine tatu zilizopata dhoruba. Walioopona katika ajali hiyo ya majini wanasema kuwa walitumia…

MAPIGANO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI YASABABISHA VIFO VYA WATU 80 NIGERIA

Takribani watu 80 wameuawa nchini Nigeria katika jimbo la Benue tangu kuanza kwa mwaka huu mpya. Hiyo ni kwa mujibu wa ofisa wa wakala wa dharura. Mapigano kati ya wafugaji wa jamii ya Fulani na wakulima yamekuwa yakiongezeka tangu mwaka…

YANGA KUTUNZA HESHIMA ZA AZAM NA SIMBA KWA URA?

Kocha wa Yanga amesema hawatotumia mchezaji mwingine zaidi ya wale waliokuwa wakiwatumia tangu mwanzoni mwa michuano hiyo YANGA na URA zitashuka dimbani mapema kesho kutafuta timu itakayocheza fainali ya michuano ya Kombe la Mapinduzi ambalo linaendelea hapa visiwani Zanizibar Mchezo…

RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AZINDUWA SOKO LA KISASA KINYASINI MKOA WA KASKAZINI UNGUJA

 Soko la Kinyasini Mkoa wa Kaskazini Unguja lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, ikiwa ni Shamrashamra za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.  WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakimsikiliza Rais…