Year: 2018
Haya Hapa Magazeti ya Leo Januari 10, 2018
Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Jumatano Januari,10, 2018 nimekuekea hapa …
Mzee Jakaya Kikwete Aungana na Wanayanga Kumzika Athumani Chama
Jeneza lenye mwili wa marehemu likifikishwa makaburini. RAIS Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, mapema leo ameungana na baadhi ya wapenzi na wanachama wa Klabu ya Yanga kuuzika mwili wa aliyekuwa mchezaji wa klabu hiyo…
Waziri Mbarawa Avamia Bandarini Usiku, Abaini Madudu!
WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa jana usiku amefanya ziara ya kushtukiza katika Bandari ya Dar es Salaam na kubaini mawakala wa meli wanaotoa huduma katika bandari hiyo hawafanyi kazi saa 24 kama Serikali ilivyoelekeza. Prof. Mbarawa ameiagiza Mamlaka…
Meli ya Kubeba mafuta Yateketea kwa Moto Pwani mwa China
Hali mbaya ya hewa inatatiza juhudi za kuzima moto na kufuja kwa mafuta zaidi ya saa sitini. Meli ya mafuta ya Iran inateketea kwa moto baada ya meli mbili kugongana kusini mwa bahari ya China. Meli hiyo kwa jina Sanchi…
Zimbabwe Yachunguza Shahada ya Uzamifu ya Grace Mugabe
Mamlaka ya kukabiliana na ufisadi nchini Zimbabwe imeanzisha uchunguzi kuhusu shahada ya udaktari iliopewa mkewe Robert Mugabe, Grace Mugabe kulingana na ripoti ya AFP. Phyllis Chikundura ,msemaji wa tume ya kukabiiana na ufisadi nchini humo alithibitisha kuwa kulikuwa na uchunguzi…
JPM Akutana na Kufanya Mazungumzo na Lowassa, Ikulu
Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo Jumanne, Januari 9, 2018 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Edward Ngoyai Lowassa Ikulu jijini Dar es Salaam. Lowassa ambaye pia ni Kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo na alitekuwa…