Year: 2018
Muhogo ni Fursa Kuelekea Viwanda
Tangu Oktoba, mwaka jana nimekuwa nikiandika juu ya fursa ya kilimo cha muhogo. Maandishi yangu haya yametokana na ziara niliyoifanya nchini China. Taifa hilo limetenga wastani wa dola za Marekani bilioni 5 kununua muhogo kutoka Tanzania. Kufikia mwaka 2020 nchi…
YANGA USO KWA USO NA URA NUSU FAINAL YA KOMBE LA MAPINDUZI
Kufuatia matokeo ya jana kuanzia mchezo wa mapema uliowakutanisha Simba na URA, na kushuhudia Simba kipandishwa boti kurudi Dar es Salaam kwa kufungwa bao 1-0, na kuifanya URA kufika point 10 na kuongoza kundi A huku Azam ikishika nafasi ya…
SINGIDA UNITED YAIDHIBITI YANGA KOMBE LA MAPINDUZI
Makocha wa timu za Yanga na Singida United wametunziana heshima baada ya timu zao kumaliza dakika 90 zikitoka sare ya 1-1 Kombe la Mapinduzi Wachezaji wa Yanga wamelazimika kupambana hadi dakika ya mwisho na kufanikiwa kupata sare ya 1-1, dhidi…
KOREA KASKAZINI NA KOREA KUSINI ZAANZA MAZUNGUMZO
Mkutano huo unaofanyika katika kijiji cha Panmunjom ambapo mazungumzo yao yanahusu uwezekano wa Korea Kaskazini kushiriki katika mashindano ya Olimpiki ya msimu wa baridi yatakayofanyika Korea Kusini mwezi wa pili. Waziri wa muungano wa Korea Kusini , Cho Myoung-Gyon amesema…
WAZIRI MPINA AKAMATA KILO 65,600 ZA SAMAKI ZENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI MIA TATU
Waziri wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina (katikati )akimsikiliza Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Uvuvi, Bi Mwanaidi Mlolwa akitoa maelezo baada ya kushuhudia shehena ya samaki wachanga aina ya Sangara kilo 65600 mjini Bukoba waliokamatwa katika kisiwa cha Lubili wilayani…
RC TELACK AFANYA ZIARA KUKAGUA KILIMO CHA PAMBA NA MTAMA WILAYANI KISHAPU
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainabu Telack amefanya ziara ya kukagua kilimo cha zao la Pamba na Mtama wilayani Kishapu kwa ajili ya kuendelea kuhamasisha wakulima kulima mazao hayo kwa wingi kwa njia za kitaalamu ambayo yatawafanya wakue kiuchumi na…