JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2018

DIWANI WA CHADEMA ALIYEJIUNGA NA CCM AWAPA USHAURI CHADEMA

Diwani wa Kata ya Turwa wilayani Tarime, Zakayo Chacha Wangwe aliandika barua na kueleza sababu ya kujiuzulu nafasi hiyo kuanzia jana Januari 5, 2018 kutoa ushauri kwa wanachama wengine ambao bado wapo upinzani.  

Viwanda 5 vya Samaki Vilivyokamatwa na Samaki Wasioruhusiwa Mwanza Hiv Hapa

Meneja uchakataji wa Kiwanda cha kuchakata samaki Victoria cha jijini Mwanza, Endwin Okwong’o (aliyeshika kofia) akimuelezea Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Luhaga Mpina (mwenye miwani), namna ambavyo wanapokea samaki kutoka kwa mawakala na kuwachambua kabla ya hatua ya kuchakata…

MECHI YA SIMBA VS AZAM NI KAMA FAINALI

Timu za Simba na Azam leo zitakumbushia fainali ya Kombe la Mapinduzi ya mwaka 2017, wakati itakapo kutana katika hatua ya makundi Azam FC na Simba zote za Dar es Salaam kesho zinatarajia kuchuana katika mchezo wa hatua ya makundi…

SUMAYE: SINA MPANGO WA KURUDI CCM, AWATAJA JPM, JK NA MKAPA

KUTOKANA na kuibuka kwa wimbi la baadhi ya wanasiasa hapa nchini kuhama vyama vyao, Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Frederick Sumaye ambaye ni kada wa Chadema amefunguka na kusema kuwa hana mpango wa kurudi Chama Cha Mapinduzi…

RUGEMARILA AWATAJA “WEZI” WA ESCROW

MFANYABIASHARA, James Rugemalira anayekabiliwa na kesi ya utakatishaji fedha amewataja aliodai ni wezi wa fedha za Escrow katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kama alivyosema awali kwamba anawafahamu. Watu hao amewataja mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba,  baada ya…

Azam Yachezea Kichapo Kutoka kwa URA

Azam FC italazimia kuifunga Simba leo ili kuweka hai matumaini ya kutetea ubingwa wake baada ya jana kufungwa na URA bao 1-0 Mabingwa watetezi wa michuano ya Kombe la Mapinduzi leo wameonja joto ya michuano hiyo baada ya kupokea kipigo…